Hamna usidanganyike....biashara ni usimamizi.
Kitu pekee nitakuambia mbinu na maaujanja yeyote utayapata ukisha anza fanya hyo biashara...biashara zina siri nyingi sanaa kwa kawaida ukianza utaona kwa juu juu faida / profits zake ni ndogo sanaa ila ukiingia kuna corners nyingi sana utajifunza hasa ukisimamia biashara yako mwenyewe pale mwanzo mwanzo.....utajikuta unakua mbunifu on the process.
Biz nyingi sana zina siri nyingi sanaa.....mfano: kuna stock za bei rahisi kutoka kwa watu wenye shida....unakuta kuna issue unaitiwa kitu flani sehem flani utapata bei
Ya kitonga na still unakuja uza at the same market price at ur shop na hata kama mzigo flani huna watu wana dalalia hadi wafanya biashara wengine ipo sana hii kwa biashara za mjini (mambo ni mengi sana, huwezi yajua hadi uwe kwenye game stahimili kama mwaka hivi utajifunza mengi sana)
One thing i gurantee you....ogopa sana watu wanaouza material za ujenzi / vifaa vya umeme / spare za magari with significant stock ni multi - millionaires waone hivi hivi tu.
Biashara ni mtandao. Amini nakuambia.