Mfanyakazi wangu akikaa dukani anauza zaidi yangu

Nimuonee wivu mdogo wangu? Khaaa
Kuna mtu anakaa dukani haiba yake inaogopesha wateja. Tukuli tu kuwa binadamu tuna haiba tofauti tofauti. Kuna watu wako ''riendly'' kama wanavyosema wana umombo, kuna watu wanaogopesha na ukiwaona unakuwa huko comfortable kuongea nao. Nje ya mada: Kuna wanawake wanapotembea wanakuwa approached zaidi ya wengine japo japo kwa sura au umbo ni wabaya. Siri ni kuwa wanaume wanaangalia ni yupi amekaa kirahisi rahisi zaidi.
 
Gien Banks mkuu tolea maelezo kwa nini biashara za ujenzi materials na vile vile vifaa vya umeme na spares za magari zinalipa hadi walioko huko kuwa millionaires, why isiwe kwa biashara za chakula au nguo. Tolea maelezo mkuu.
 
Inapendeza sana, atakua na good customer care...
 
Ndiyo maana mimi huwa naamini sio kila mtu anaweza fanya biashara. Biashara ni kismati skills na uzoefu (sio mtaji). Kama huna hizi sifa achana na kufikiri kufanya biashara.
Kila mtu anaweza kufanya biashara ila siyo kila mtu anaweza kufanya biashara yoyote.

Muhimu usilazimishe kufanya kila kitu au kuwa uso wa biashara.

Kuna biashara nyingi utakuwa unaona watu fulani mbele ila nyuma yao kuna wafanyabiashara wenyewe.
 
Gien Banks mkuu tolea maelezo kwa nini biashara za ujenzi materials na vile vile vifaa vya umeme na spares za magari zinalipa hadi walioko huko kuwa millionaires, why isiwe kwa biashara za chakula au nguo. Tolea maelezo mkuu.
Wengi wanauza vifaa vya magendo, hivyo wanavinunua kwa bei nafuu na kuviuza kwa bei ya soko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanaangalia mteremko
 
Isije ikawa ndio sababu ya wewe kumzuia asiende chuo, ukaona bora akae hapo hapo golini kuliko kwenda chuo kutengeneza future yake.

Mungu anakuona.
Hii nilishawah iona,dogo baada ya kupata likizo kaenda kwa braza,hakurud tena shule,ila baadae baada ya kuwa mkubwa alimfungulia duka lingine la dogo
 
yaaani umeongea point sawa ila....nje ya mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…