Mfaranyaki Secondary itakuwa tishio kitaaluma

jafari mwijae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
181
Reaction score
39
Katika matokeo ya mtihani wa kufungia Shule wa mwisho wa muhula wa 2013 uliouhusisha kidato cha tatu na nne maarufu mtihani wa tahosa Vijana wamekuwa wapili katika mtihani huo kati ya shule zilizopo katika manispaa ya songea huku somo la physics likiwa la kwanza kuongoza wakifatiwa na Songea boys katika somo la Physics .katika mtihani huo Pongea boys iliongoza .Ongera sana headmaster wa Mfaranyaki Secondary School Mr.Kauga
 
ongereni kina sir bayo ,jafari ,jery ,chenya,tosi,kapinga yasint,sophia matembo,kasimba ,bombile......kwa kazi safi.fagilia wawaààa!
 
Mhhh hadi peramiho wamepotezwa na mfaranyaki...!!!
 
Binafsi nilifikiri umechukua kigezo cha matokeo ya kidato cha 4 japo kuwa yamechakachuliwa grade range. Sasa mtihani wenyewe sio varidy in terms of marking wameenda chaka sehemu kibao . Binafsi sikuungi mkono je unajuaji kama walisimamiwa vizuri . Shule inayokuja kwa kasi songea manispaa ni BOMBABILI mama mwasi anatisha . Umeona matokeo ya form 4.-2013
 
ongereni kina sir bayo ,jafari ,jery ,chenya,tosi,kapinga yasint,sophia matembo,kasimba ,bombile......kwa kazi safi.fagilia wawaààa!
huu ni mwanzo mzuri hvyo bac itakuwa mbaya kama graph ya shule itashuka lakini tunaona inapanda vilevile tunazungumzia mtihani wa tahosa sio necta kwani hata necta idadi ya wanaoenda kidato cha tano inaongezeka
 
hongera mkoa wa ruvuma kwa ujumla kwa kuwa na mwamko wa elimu.
 
ni kweli mr kadoda
wanaruvuma hawana budi kujibiidisha katika masomo.
 
.
Kaka hapo tu ume nikuna karoho kame suuzika yaani MAMA MWASI ana stahili sana pongezi na upole wake mama yule
.
Afu ktk shule kongwe zinazopotea ni MSAMALA/MFARANYAKI secondary yaani shule kongwe iliyo kuwa ikitegemewa sasa hivi n madudu tu....
.
Wamekanyagwa vibaya kabisa na wenzao BOMBAMBILI secondary kuanzia mock mpaka NECTA hebu jiulize BOMBAMBILI secondary ni shule ya kata tu kama zilivyo nyingine afu ni ya 526 kitaifa na ya 12 kimkoa
.
Huyu mtu jacksonduma nae aliwasaidia sana madogo pale... BM2 ashukuliwe sana mwangalaba, fusi, jsasu, n.k
Shule zote mfaranyaki/msamala zinazidi tu kupotea
.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu huyoo fusi ni yule aliyesoma songea boys then akaenda udom??
 
Last edited by a moderator:
Duh wadau mmenikumbusha mbali sana enzi za box 2 ni noumer tulikuwa hatushikiki hapo songea walikuwa wanatuelewa vizur linapokuja swala la shule na mamboo mengine
Nimemiss sana poraa na mayao
 
Mkuu huyoo fusi ni yule aliyesoma songea boys then akaenda udom??

.
Ana mguu flani hv mbovu?
.
Kama ni yeye sawa mana nnae msemea nahisi kasoma seminary tu......
.
 
Duh wadau mmenikumbusha mbali sana enzi za box 2 ni noumer tulikuwa hatushikiki hapo songea walikuwa wanatuelewa vizur linapokuja swala la shule na mamboo mengine
Nimemiss sana poraa na mayao

jamaa ulikuwa unapenda kwenda ulokoni wewe
 
ni kweli mr kadoda
wanaruvuma hawana budi kujibiidisha katika masomo.
Iliniuma sana niliposikia eti zile shule tisa za mwisho za matokeo ya form four mwaka jana eti zilitoka mkoani kwetu...
We cheki sasa wale walimu wa Kalembo wanavyohangaishwa na kila mwenye majukumu ya elimu...
Yaani pale kaenda naibu waziri wa elimu, tume toka bungeni, wakaguzi wa kanda, wizarani... Yaani walimu pale mida hii ni hofu tu ya kuhamishwa....

Kule mbinga naibu waziri kawashusha vyeo walimu wakuu kama wanne hivi..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…