Mfaranyaki Secondary itakuwa tishio kitaaluma

.
Kaka post yangu yote sijataja mfaranyaki isome tena
.
Lakini mfaranyaki imewahi kuwa na wanafunzi wengi wenye mimba nadhani tatizo ni kuwa mjini sana
.

Kwa takwimu zilizopo,shule inayo ongoza kwa wanafunzi wa kike kuacha shule kwa kupata ujauzito ni Matalawe ikifuatiwa na London,
 

vipi kuhusu ile kambi ya form 4 unataka kuniambia kuwa ndio mlikuwa mnatimiza culture yao ya kupenda ngono.swali ?mlikuwa hamjui au hamwaoni wanachofanya wanafunzi? Mwalimu wa malezi hakujua hili? Vipi kuwa ya 16 kati ya 22? Jitete .
 
vipi kuhusu ile kambi ya form 4 unataka kuniambia kuwa ndio mlikuwa mnatimiza culture yao ya kupenda ngono.swali ?mlikuwa hamjui au hamwaoni wanachofanya wanafunzi? Mwalimu wa malezi hakujua hili? Vipi kuwa ya 16 kati ya 22? Jitete .

Mimi siyo mwalimu na wala sipo kwenye idara ya elimu,ila nimeamua kusema ukweli kuwa mkoa wa Ruvuma mpo nyuma sana kwenye swala zima la elimu ,jaribu kwenda shuleni kwao kuuliza hilo swala la kambi (sijui kambi gani unayo sema) kama uliwaona hao wanafunzi wanachokifanya kwanini huku peleka hilo swala sehemu husika? Ina maana una kubaliana na walichokifanya ndio maana ulikaa kimya.
 
Kwa takwimu zilizopo,shule inayo ongoza kwa wanafunzi wa kike kuacha shule kwa kupata ujauzito ni Matalawe ikifuatiwa na London,

.
Ki ujumla watoto wame elimika now mkuu nao wanafanya Family planning methods
.
.
 
.
Ki ujumla watoto wame elimika now mkuu nao wanafanya Family planning methods
.
.

Family planning bado sana mkuu hapa Ruvuma,kama una bisha jaribu kufanya simple research siku za clinic uone idadi ya wazazi wanao enda clinic na watoto wao,Alhamisi ya tarehe 27/3 nilikua Mji Mwema hospital kikazi,nilicho jionea kilikua balaa,kikubwa fertility rate na birth rate kwa wanawake ni kubwa sana kwenye mkoa huu
 
shana boy umeshaishi mikoa mingapi hapa Tanzania'
 

.
Kaka yaani saizi ni afadhali
na tukizungumzia family plannings kwa wanafunzi basi direct ni uses of condoms....
.
Hii ime wasaidia sana wanafunzi kujiepusha na mimba na ukijaribu kuzunguka zunguka sahizi hadi mitaa ya huku sokoine, na mtakuja nako wanagawa condoms zamani ilikuwa watoto ukija mwenge tu basi ni furaha kwao mana wanajifanya wanaenda kupima VVU kumbe wanataka tu maboksi yale....
.
Sahizi elimu kwa mabinti wa mkoa huu itashuka sana mana hizi Clabu zinazidi kutapakaa mkoa huu Mara Jambo lee/ Ikweta n.k
.
Kaka kwenye suara la ngono mkoa huu nakubaliana na ww kwamba una balaa lake vibinti vina jiuza ni hatari
.
 

Kitaaluma Mfaranyaki bado wana chechemea,nidhamu ya wanafunzi nayo ina walakini,walimu wanajitahidi kufundisha ila watoto ni majanga,walimu wao wengi pia ni masharobaro sijui kwasababu ipo mjini? Mfano jamaa mmoja anapiga gym anaitwa Kasambala,na dogo mmoja mwenye mwili mdogo (sijui anaitwaje),hao muda wote wapo wasafi,sijui wanafundishaga muda gani,hawa chafukagi hawa majamaa,wana vaa kama wanaenda club,cha msingi Mfaranyaki msiridhike na matokeo ya mtihani wa TAHOSA
 
shana boy umeshaishi mikoa mingapi hapa Tanzania'

Kigoma,Kagera,Lindi,Mtwara,Ruvuma,Dodoma,Dar es Salaam,Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Singida,Mbeya,Iringa,Njombe na Tabora,hapo ukiondoa mikoa niliyo somea vyuo na sekondari na mkoa nilio zaliwa,mikoa mingine iliyo baki nimeishi kikazi kwa miezi mitatu hadi 6 kulingana na ukubwa wa kazi ninayo ifanya.
 
Fanyeni kazi acheni kujisifia kwa mtihani mmoja tena kwa darasa moja. Sifa zitakuja zenyewe! Sekondari za songea hazifanyi vizuri usimamizi ni mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…