Riz king
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 276
- 549
Yaani Yanga imekuwa kama CCM. Mfia timu anayetukanwa kila siku kwa kuonesha mapenz yake waziwazi dhidi ya Yanga ameachwa pale EFM kachukuliwa manara aliyeunga mkono juhudi.
Jana ulkuwa ukiona uso wa Maulid akimuhoji Manara unamwona kabisa anahofu na Manara aneyeenda kuiharbu timu yake anayoipenda ya yanga. Maulid angepewa kitengo huyu Manara hana uchungu na team yetu, mumfukuze arud huko Mikia fc.