Mfia timu Maulid mmeacha kumpa kazi sasa anakula Manara

Mfia timu Maulid mmeacha kumpa kazi sasa anakula Manara

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
Yaani Yanga imekuwa kama CCM. Mfia timu anayetukanwa kila siku kwa kuonesha mapenz yake waziwazi dhidi ya Yanga ameachwa pale EFM kachukuliwa manara aliyeunga mkono juhudi.

Jana ulkuwa ukiona uso wa Maulid akimuhoji Manara unamwona kabisa anahofu na Manara aneyeenda kuiharbu timu yake anayoipenda ya yanga. Maulid angepewa kitengo huyu Manara hana uchungu na team yetu, mumfukuze arud huko Mikia fc.
 
Tulia dogo, siasa za soka huzifahamu.
IMG-20210828-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom