witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Umekosa Mme hivi hivi looh![emoji15] [emoji15]Kwenye Dini hapo nafiti kwingine kote sifai......ngoja wenye vigezo waje
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosa Mme hivi hivi looh![emoji15] [emoji15]Kwenye Dini hapo nafiti kwingine kote sifai......ngoja wenye vigezo waje
Sent using Jamii Forums mobile app
My middle Finger Salute you.... [emoji16][emoji16]Yu meant that was an advice? Take your advice and shove it up your a**. Acha wanawake wanaojielewa dada... Wala siyo big deal.
Ndo inavyotakiwa hivyo mkuu,maisha ya kujiongeza hayaFursa 2015 kamata fursa twenzetu..
Hujapenda??????
Safi mkuu. Tuko pamoja kiongoziNdo inavyotakiwa hivyo mkuu,maisha ya kujiongeza haya
Mkuu nadhani unatania, mbagala hakuwezi kuwa na watoto wazuri kuliko hizo prime areasTena hamba sehem yenye watoto wazuri kama mitaa ya Mbagala. Tofauti inaweza kuwa ni exposure na vigezo vya elimu lakini kwa wife materials,Mbagala kutamu kuliko maeneo ya kujirusha kama Sinza,Tabata na Kinondoni au maeneo ya kishua kama Masaki,O'bay,Mbezi Beach na Mbweni
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani kuolewa ni ajira kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] unaandaa cv
Ajira isiyo na mshaharaJamani kuolewa ni ajira kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] unaandaa cv
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] halafu nije na vyeti ili niweze kufaulu interview ya kwenda kupata tabu sanaaa...mtoa mada mungu anamuona
Mtoa mada apate anachostahili tu[emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] halafu nije na vyeti ili niweze kufaulu interview ya kwenda kupata tabu sanaaa...mtoa mada mungu anamuona
Sent using Jamii Forums mobile app