Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
- Thread starter
-
- #121
My middle Finger Salute you.... [emoji16][emoji16]
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Me nadhani tusimunyoshee vidole kwa maamuzi yake haya, hata mbele huko kuna Dating sites ambazo zinawahelp sana watu katika masuala ya relationships hivyo sioni makosa, na isitoshe kila mtu ana maamuz na maono yake, maybe chinese women don't fit his lifesthle au yeye haendani nao so me nadhan suala la kutafuta mtu wa kuwa na relationship nae ni popote pale muhimu tu nj nyinyi kuwa wakweli na kuepuka kupotozeana mda.
Hakuna sheria wala indication wala directory inayosema wapi na sehemu gani utampata mke, na cha kustajaabisha humu humu unaweza pata mkuu, all the best bt isiwe tu unatuchezea ka mchezo kakupata comments na likes kwenye thread yako mana wewe ndo utachezewa but kama nia unayo mkuu all da best
KAABAD THE GREAT
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] halafu nije na vyeti ili niweze kufaulu interview ya kwenda kupata tabu sanaaa...mtoa mada mungu anamuona
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama kamaaaa kagusa humohumo
Kweli ujanja ni kusoma na kutembea fikra haziwezi kupanuka kama huna hata moja ya mambo hayo mawilinimekuwa msomaji mzuri sana wa JF hasa nikivutiwa na watu kadhaa wa humu ndani kama akina Sky Eclat , GuDume , Nucky Thompson , Salary Slip, Da'Vinci e.t.c hawa ni watu ambao nimekuwa kwa ukaribu sana nawasoma threads zao sababu ya mambo kadhaa kadhaa. hasa GuDume the great entertainer na mwelimishaji pamoja na Da'vinci kwa makala zake kadhaa.
mwenzenu nimekuja nahitaji mwenzi. nyie wazoefu humu ndani mnisaidie mwanamke ambaye ana jiheshimu mzuri na serious ambaye nitaweza kudate na kuoana naye. kuna watu kadhaa wanasema wameshawahi pata wanawake wa kuoa humu.nami ngependa nifanikiwe.
1. mke awe mzuri rangi yoyote ila asijichubue
2. elimu kuanzia kidato cha sita/diploma na kuendelea
3. awe na tabia nzuri na figure nzuri pia
4. awe na mapenzi ya dhati aliye serious kuolewa na si mdangaji
5. kama ana mtoto anihakikishie kuwa hana mahusiano na baba wa huyo mtoto tena na si zaidi ya mtoto mmoja
6. kazi si lazima awe nayo kama anayo its ok lakini awe tayari kufanya kazi au biashara ikiwa tutakubaliana ili asikae tu nyumbani.
7. awe tayari nipafahamu anapoish naye apafaham ninapoishi
8. awe mstaarabu na ningependa dini awe muislamu
9. awe tayari kujifunza kwangu nami kunifunza ili tuweze ku copy.
10. tukishaanza kuwa karibu baadaye tutumiane picha na kufahamiana
mimi nina miaka 27. nilikuwa masomoni china nimerudi mwaka sasa na nimeajiriwa kampuni flani. si tajiri lakini ninajimudu na naweza kummudu mtu mwingine. naishi dar es salaam ubungo. natumia pombe kiasi si sana. ni maji ya kunde kimo cha wastani na uzito kiasi si sana. naweza zungumza lugha tatu. kiswahili,kiingereza na kichina kiasi. kwa wale walio serious please tuwasiliane. nasisitiza kuwa kigezo cha uzuri na umbo pia vipo na ni muhimu maana sitak mtu wa kumchezea tu.
NB: NImewashirikisha JF sababu naamini mtu ambaye tutakutana kwa jambo hili humu atakuwa serious na mwenye nia hasa. nimechoka kukosa mtu wa kuishi naye na kupanga mipango pamoja.
Umeongea point mbili kwa wakati mmoja!!! Hatari sana mkuu!mademu hawataki CV wanataka mashine
za ATM za kumwaga pesa
Wadada wengi wenye elimu kubwa huwa si warembo ,sura za kawaida sana,nimekuwa msomaji mzuri sana wa JF hasa nikivutiwa na watu kadhaa wa humu ndani kama akina Sky Eclat , GuDume , Nucky Thompson , Salary Slip, Da'Vinci e.t.c hawa ni watu ambao nimekuwa kwa ukaribu sana nawasoma threads zao sababu ya mambo kadhaa kadhaa. hasa GuDume the great entertainer na mwelimishaji pamoja na Da'vinci kwa makala zake kadhaa.
mwenzenu nimekuja nahitaji mwenzi. nyie wazoefu humu ndani mnisaidie mwanamke ambaye ana jiheshimu mzuri na serious ambaye nitaweza kudate na kuoana naye. kuna watu kadhaa wanasema wameshawahi pata wanawake wa kuoa humu.nami ngependa nifanikiwe.
1. mke awe mzuri rangi yoyote ila asijichubue
2. elimu kuanzia kidato cha sita/diploma na kuendelea
3. awe na tabia nzuri na figure nzuri pia
4. awe na mapenzi ya dhati aliye serious kuolewa na si mdangaji
5. kama ana mtoto anihakikishie kuwa hana mahusiano na baba wa huyo mtoto tena na si zaidi ya mtoto mmoja
6. kazi si lazima awe nayo kama anayo its ok lakini awe tayari kufanya kazi au biashara ikiwa tutakubaliana ili asikae tu nyumbani.
7. awe tayari nipafahamu anapoish naye apafaham ninapoishi
8. awe mstaarabu na ningependa dini awe muislamu
9. awe tayari kujifunza kwangu nami kunifunza ili tuweze ku copy.
10. tukishaanza kuwa karibu baadaye tutumiane picha na kufahamiana
mimi nina miaka 27. nilikuwa masomoni china nimerudi mwaka sasa na nimeajiriwa kampuni flani. si tajiri lakini ninajimudu na naweza kummudu mtu mwingine. naishi dar es salaam ubungo. natumia pombe kiasi si sana. ni maji ya kunde kimo cha wastani na uzito kiasi si sana. naweza zungumza lugha tatu. kiswahili,kiingereza na kichina kiasi. kwa wale walio serious please tuwasiliane. nasisitiza kuwa kigezo cha uzuri na umbo pia vipo na ni muhimu maana sitak mtu wa kumchezea tu.
NB: NImewashirikisha JF sababu naamini mtu ambaye tutakutana kwa jambo hili humu atakuwa serious na mwenye nia hasa. nimechoka kukosa mtu wa kuishi naye na kupanga mipango pamoja.
Hahahah china kuna LCD panel za kutosha, wabongo tunataka CRT screenWabongo kwa kupenda misambwanda utawaweza mkuu... China pasi imetembea kule
Kila la kheri mpendwa! Utapata ucjar"nimekuwa msomaji mzuri sana wa JF hasa nikivutiwa na watu kadhaa wa humu ndani kama akina Sky Eclat , GuDume , Nucky Thompson , Salary Slip, Da'Vinci e.t.c hawa ni watu ambao nimekuwa kwa ukaribu sana nawasoma threads zao sababu ya mambo kadhaa kadhaa. hasa GuDume the great entertainer na mwelimishaji pamoja na Da'vinci kwa makala zake kadhaa.
mwenzenu nimekuja nahitaji mwenzi. nyie wazoefu humu ndani mnisaidie mwanamke ambaye ana jiheshimu mzuri na serious ambaye nitaweza kudate na kuoana naye. kuna watu kadhaa wanasema wameshawahi pata wanawake wa kuoa humu.nami ngependa nifanikiwe.
1. mke awe mzuri rangi yoyote ila asijichubue
2. elimu kuanzia kidato cha sita/diploma na kuendelea
3. awe na tabia nzuri na figure nzuri pia
4. awe na mapenzi ya dhati aliye serious kuolewa na si mdangaji
5. kama ana mtoto anihakikishie kuwa hana mahusiano na baba wa huyo mtoto tena na si zaidi ya mtoto mmoja
6. kazi si lazima awe nayo kama anayo its ok lakini awe tayari kufanya kazi au biashara ikiwa tutakubaliana ili asikae tu nyumbani.
7. awe tayari nipafahamu anapoish naye apafaham ninapoishi
8. awe mstaarabu na ningependa dini awe muislamu
9. awe tayari kujifunza kwangu nami kunifunza ili tuweze ku copy.
10. tukishaanza kuwa karibu baadaye tutumiane picha na kufahamiana
mimi nina miaka 27. nilikuwa masomoni china nimerudi mwaka sasa na nimeajiriwa kampuni flani. si tajiri lakini ninajimudu na naweza kummudu mtu mwingine. naishi dar es salaam ubungo. natumia pombe kiasi si sana. ni maji ya kunde kimo cha wastani na uzito kiasi si sana. naweza zungumza lugha tatu. kiswahili,kiingereza na kichina kiasi. kwa wale walio serious please tuwasiliane. nasisitiza kuwa kigezo cha uzuri na umbo pia vipo na ni muhimu maana sitak mtu wa kumchezea tu.
NB: NImewashirikisha JF sababu naamini mtu ambaye tutakutana kwa jambo hili humu atakuwa serious na mwenye nia hasa. nimechoka kukosa mtu wa kuishi naye na kupanga mipango pamoja."
Juan kong
πππππ china cyprus nyingi kule...kila manzi kanyooka kama mbaoWabongo kwa kupenda misambwanda utawaweza mkuu... China pasi imetembea kule
Yani unataka kusema umeshindwa kuoa mchina kabisa? hata mchina kichaa ungeoa tu,nadhani mchina kichaa ana maarifa sawa na hao wanawake wa kibongo unaowataka.
Vipi inauma? basi hebu twende taratibu.Jamanii
Kila lakheri ila mwonyesha baba yako hii cv ailingaanishe na ya mama then use na mrejesho muhimu sana kuwashirikisha waliokuleta duniani"nimekuwa msomaji mzuri sana wa JF hasa nikivutiwa na watu kadhaa wa humu ndani kama akina Sky Eclat , GuDume , Nucky Thompson , Salary Slip, Da'Vinci e.t.c hawa ni watu ambao nimekuwa kwa ukaribu sana nawasoma threads zao sababu ya mambo kadhaa kadhaa. hasa GuDume the great entertainer na mwelimishaji pamoja na Da'vinci kwa makala zake kadhaa.