Mfikishieni salamu Freddy Michael Koublan, lawama zote leo anabeba yeye vs Kagera

Mfikishieni salamu Freddy Michael Koublan, lawama zote leo anabeba yeye vs Kagera

Yaani Fred sio kwa mechi hii tu ya leo, leo ni muendelezo wa ubinafsi wa kijinga alio nao...mie ningempa benchi hadi ajute. Halafu, kwa nini asitafutwe mtu amfanye majeruhi wa kudumu?
Striker gan wewe mjinga mjinga, striker unapewa pasi funga unapeleka nje, magolo 2 clear kabisa anakosa mjinga huyu, ameniudhi sana leo
 
Poleni sana mmebaki kushindania mshindi wa pili
 
Mimi huyu jamaa simkubali kabisa, Simba kweli tunamtegemea striker wa design hii kweli? Draw ya ajabu sana hii....
 
Striker gan wewe mjinga mjinga, striker unapewa pasi funga unapeleka nje, magolo 2 clear kabisa anakosa mjinga huyu, ameniudhi sana leo
Sawa magufuli

Mimi pia nimesikitika Sana na u butu wake Kama straika wakutumainiwa hofu na panic nyingi anakosa umakini na utulivu anakua Kama sio professional player anakua Kama MCHEZAJI WA MTUMBA
 
Yeye na che malone kachoma kabisa ubishoo na kutaka kujiamini che malone amkekuwa anajiamini kujidai vichenga vya kishenz sehem ambayo beki hasifiwi kwa mambo ya kipuuzi kama yale fred ni takataka kabisa kingine akina barua na chasambi wasione wao tu kufunga wasifiwe kwa sasa team inahitaji matokeo kuliko kusifia mtu
 
Huyo. Kocha wenu mliyekuwa mnataka apewe timu yeye ndio wa kubeba lawama pamoja na wachezaji wenu kina Mzamiru ambao wanasema Wana ofa mikononi, ni heri Simba ishike nafasi ya tatu ili ijipange.
 
Yeye na che malone kachoma kabisa ubishoo na kutaka kujiamini che malone amkekuwa anajiamini kujidai vichenga vya kishenz sehem ambayo beki hasifiwi kwa mambo ya kipuuzi kama yale fred ni takataka kabisa kingine akina barua na chasambi wasione wao tu kufunga wasifiwe kwa sasa team inahitaji matokeo kuliko kusifia mtu
Vipi mmehairisha kurudiana na Yanga!??
 
Back
Top Bottom