super hero tz
Member
- Sep 21, 2016
- 63
- 145
Itoshe kusema ubinafsi.achana na yeye kukosa kulenga lango amepata nafasi za kuweka assist wenzie wafunge anapgapga tu.hata ile last game ya mbili bila hakutaka kufanya assist akajipigia bahati nzuri ikapga nguzo mwenzie akatupia cha pili.anaforce kubaki kwenye timu kwani akija mitandaoni,anaona yuko kwenye red line ya wachambuz na mashabiki.