super hero tz
Member
- Sep 21, 2016
- 63
- 145
Kwani alikuwa anacheza peke yake? Kwa nini tusiwalaumu na akina Chasambi? Huyu ndiye mlisema anamzidi Baleke? Viongozi wa Simba ni takataka!Mimi huyu jamaa simkubali kabisa, Simba kweli tunamtegemea striker wa design hii kweli? Draw ya ajabu sana hii....
Kwa uongozi wa sasa uliopo pale Simba inawezekana kabisa na wala sitashangaa. Kama ni kweli hao viongozi walikuwa wana haraka gani hata ligi haijaisha au walisikia kuna timu inamtaka wakaona wao wamuwahi mapema!!!!NIMESOMA SEHEMU KAONGEZEWA NA MKATABA KHA
10 percent inaua sokaletuuuKwa uongozi wa sasa uliopo pale Simba inawezekana kabisa na wala sitashangaa. Kama ni kweli hao viongozi walikuwa wana haraka gani hata ligi haijaisha au walisikia kuna timu inamtaka wakaona wao wamuwahi mapema!!!!
Fredy, Onana na Jobe hawana hadhi ya kuchezea Simba inayotaka kwenda nusu fainali Afrika. Ila kwa Simba hii ya wajanja wajanja wa 10% hata usajili ujao ni mashaka matupu. Viongozi kupitia msemaji wao na chawa wao wameshaanza kumpigia debe tena wana msemo wao kabisa kuwa " Freddy ni mali"
Mashabiki wa Simba ni wapumbavu ..... Litimu libovu mkishinda kimechi kimoja Tena chakubebwa basi midomo kama kasuku....!.
Tulilipa deni kuwafunga Azam maan waliwakanda kisawasawaMashabiki wa Simba ni wapumbavu ..... Litimu libovu mkishinda kimechi kimoja Tena chakubebwa basi midomo kama kasuku....!.