Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Kuku 120K,?? π―Ndugu zanguni wazima?
Kwa kweli nimehamasishwa sana na huyu mfugaji wa kuku wa mayai 120,000. Ningependa kujifunza mambo machache kwake kama ukubwa wa shamba analomiliki, uwezo na ukubwa wa mabanda manne ambayo anatumia kufugia kuku 120,000 (kuku elfu 30 kwa kila banda).
Tafadhali mwenye kuifahamu vizuri hii kampuni ya "GREAT FARM" na maeneo iliyopo naomba anisaidie taarifa zake ili nikajifunze kwa vitendo huko.
Asanteni
View attachment 2383858
Bora huyo hata kuku nitakulaHuyu mwenye kuku laki na ishirin akianzisha upatu kama ule wa kalynda atatupiga balaa
[emoji23][emoji23][emoji23] Kaa ki masta mjini hapaMtoa mada mwenyewe kakaa kikazi zaidi.
Unajidai kuulizia mfugaji ila kumbe lengo ni kutangaza biashara ili upate wateja wa kunyonya
Nataka nikajifunze tu, basiKikubwa ukajifunze na uende katika njia zako usije ukahadaika kuwa mwanahisa Kwa kuwekeza kwenye mradi huo.
Ndivyo hesabu iliyotamkwa na Bank ya Kilimo, kwamba amefikisha idadi hiyo ya kuku wa mayaiKuku 120K,?? π―
Mimi nafuga samaki mdogo wangu, huoni kila siku napigia kelele ile mikopo yetu ya wafuga samaki?Mtoa mada mwenyewe kakaa kikazi zaidi.
Unajidai kuulizia mfugaji ila kumbe lengo ni kutangaza biashara ili upate wateja wa kunyonya
Kampuni imetajwa hapo, ni Great FarmIsijekuwa Jatu..maanaJatu wanachukua pesa kuwalimia watu mashamba lakini Wana hekari zisizozikdi 10
ππ[emoji23][emoji23][emoji23] Kaa ki masta mjini hapa
Hongera yakeNdivyo hesabu iliyotamkwa na Bank ya Kilimo, kwamba amefikisha idadi hiyo ya kuku wa mayai
Ndio sababu nimekuja hapa kuuliza kwa anayeifahamu hiyo kampuni ya Great Farm, atujulishe sehemu ilipo ili tukaitembelee tujifunze. Kuku wa mayai 120,000 sio jambo dogoTADB ndio wamesapoti hapa kuna uhuni!