Mfugaji huyu wa Kuku wa Mayai 120,000 anapatikana mkoa gani ili tukajifunze kwake?

Rashidi Jololo

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
1,704
Reaction score
2,858
Ndugu zanguni wazima?

Kwa kweli nimehamasishwa sana na huyu mfugaji wa kuku wa mayai 120,000. Ningependa kujifunza mambo machache kwake kama ukubwa wa shamba analomiliki, uwezo na ukubwa wa mabanda manne ambayo anatumia kufugia kuku 120,000 (kuku elfu 30 kwa kila banda).

Tafadhali mwenye kuifahamu vizuri hii kampuni ya "GREAT FARM" na maeneo iliyopo naomba anisaidie taarifa zake ili nikajifunze kwa vitendo huko.

Asanteni

Kuku laki na ishirini.PNG
 
View attachment 2383858
Kuku 120K,?? 😯
 
Mtoa mada mwenyewe kakaa kikazi zaidi.

Unajidai kuulizia mfugaji ila kumbe lengo ni kutangaza biashara ili upate wateja wa kunyonya
Mimi nafuga samaki mdogo wangu, huoni kila siku napigia kelele ile mikopo yetu ya wafuga samaki?
 
Back
Top Bottom