Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?

Sikuipenda, Ilipaswa Mfugale amtaarifu mapema PM kabla lkn alinyaza hadi PM alipo rudi Kwa mara ya pili ndipo akamweleza, sikuipenda hiyo
 
yaani maaja-riwa kawa sawa na shati tuu, yupo yupo tuu, adi akina bashite wanamvimbia, na ma bwanyenye yenye kinga ya jiwe yoote yanamvimbia tuu na yeye anachukulia poa tuu, hii si sawa hata kidogo kwani yeye ndiye mtendaji wa serikali
 
Wewe unachonganisha, Waziri Mkuu alieleweshwa na akeelewa vizuri. Mhandisi alibaki pale kama Bridge Engineer na siyo Regional Manager, kulikuwa na uhitaji wa haraka ndio maana alibaki.
Mkuu walioleta habari hiyo hadharani walifanya makusudi kwa malengo ya kisiasa.
Anaetafutwa kasoro hapo sio Majaliwa au Mfugale bali Magufuli.

Inatafutwa kasoro ya kumchafua Magufuli.
 
Ukishajua walivyo mfugale na jiwe huwezi kuja kulalamika hapa Mfugale kapewa mapaka daraja pale Tazara ushasikia wapi Majaliwa kupewa japo mtaa ukaitwa kwa jina lake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishajua walivyo mfugale na jiwe huwezi kuja kulalamika hapa Mfugale kapewa mapaka daraja pale Tazara ushasikia wapi Majaliwa kupewa japo mtaa ukaitwa kwa jina lake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wametoka mbali pamoja bwana, barabara hawajaanza kuzijenga pamoja kwa flyover ya TAZARA, hivyo hatushangai
 
UNACHUKII ZA KIJINGAAA WE AKIONDOLEWA BABAKO ANAPEWA KAZI PALEEE
MFUGALE NI PROFFESIONAL BR AFANYI.MAMBOO KISIASA KAMA ULIVYOHISII NENDA KAMTOE WEWE. KHA MNAKUFAGA MASISKINI NINYI
Wataalamu wa magonjwa ya akili wanasema mtu ambaye katika mjadala wa kuandika anaandika kwa herufi kubwa tofauti na wenzake ana tatizo la akili, ana hasira zisizo na sababu, mgomvi na ni mbishi wa kupayuka ovyo. Nadhani hapa unathibitisha hili.
 
TUNAHITAJI WATAALAM WENYE MSIMAMO KAMA MFUGALE. MARA NYINGI HUWA TUNARUDISHWA NYUMA NA MAAMUZI YA WANASIASA
Ingekuwa vema ikiwa msimamo wa Mfugale ungesimamia katika mental disposition yake. Lakini si hivyo. Msimamo wake unaousifia umesimamia katika ukaribu na uhusiano wake na Magufuli wakati Magufuli akiwa waziri.Huo ndio ukweli wenyewe. Na kuwa na msimamo haukufanyi uwe na tabia ya insubordination kwa waziri mkuu wako. Kajifunze mambo ya utawala uelewe.
 

Bure wa bure!

Govt system is not functioning properly!

Kuna Mawe,halafu kuna wateule wa Mawe and then kuna rest of us,sheria sio sawa kwa haya magrupu!
 
Word. Rejea Tanesco na umeme kukatika
 
Ni kawaida ya mafisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichosema Mfugale ni kuwa Yule Meneja yupo pale Kama mtaalam wa Madaraja na sio kama Meneja wa Tanroad mkoa.
Tujifunze kubalance story tusiwe na mihemko
 
Nadhani ni busara ndogo tu imekosekana.

Huyo Bwana angetekeleza kwanza maagizo ya PM na wakati huo huo PM kuombwa kwamba bado huyo Bw anahitajika hapo site...na baada ya PM kuridhia basi ingetangazwa tena hadharani kwamba PM ametengua agizo lake mpaka hapo ujenzi wa daraja utakapokamilika.

Simple like that, na sisi Washangiliaji tungeshangilia tena na maisha yasonge mbere.
 
Alichosema Mfugale ni kuwa Yule Meneja yupo pale Kama mtaalam wa Madaraja na sio kama Meneja wa Tanroad mkoa.
Tujifunze kubalance story tusiwe na mihemko
Bado haitoshi kumfanya aliyetoa maagizo awali amkute Muhusika pale pale bila taarifa yoyote...alipaswa kufika pale akiwa tayari anajua kuwa huyo Bwana bado yupo.
 
Hata mimi niliiona na ukweli ilinisikitisha sana sana. Ina maana huyo akifa leo madaraja hayatajengwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kweli!
Mfugale alichokifanya ni utovu wa nidham, hii ilikuwa ipo kipindi cha Lugola na mapolice wake!
Hii hakuna kupepesa macho! Mfugare amemwaibisha waziri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…