Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?

katika normal republic, alichokifanya Mfugale kinaitwa "insubordination".

chini ya hii gangstaz republic yetu, alichokifanya Mfugale bado google na dictionaries zinaendelea ku search kupata tafsiri yake!
Hatimaye Mhandisi mwenye Kiburi wa TANROADS ameondoka kwa COVID19 kama Mhandisi Kijazi na Mhandisi Magufuli.

Wote Wana majina yao kwenye miundombinu ya madaraja, stendi na Airport
 
Mfugale alikuwa na kiburi cha mwenzake wanaeimba nae mapambio motoni. Hata juzi kule mwanza alitaka kumdindia Rais anajistukia.
 
Mfugale alikuwa na kiburi cha mwenzake wanaeimba nae mapambio motoni. Hata juzi kule mwanza alitaka kumdindia Rais anajistukia.
HIvi alikuwa na miaka mingapii, sio zaidi ya 70? Mara nyingine badala ya kumsaidia mtu ndio unamharibia. Pressure za ofosini sehemu kama TANROADS kukiwa na Raisi mpya anaefuta uchafu uliopita sio jambo la kubebwa na umri wa miaka 70. Na usikute walimwambia taarifa ya BOT imemkaanga!
 
Well spoken, can't agree anymore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…