TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Asante kwa kumueleza ukweli.Acha uchonganishi!
Yule meneja hakubaki pale kwa kile cheo bali alibaki kama mmoja wa wataalam wa madaraja.
Waziri mkuu alieleweshwa vyema na akaelewa.

Synthesizer, si unachotaka ni ama meneja achuliwe hatua kama PM alivyoagiza au Mfugale atumbuliwe kwa kumpuuza PM? Huo ndo uchochezi
Ahaa. Mkuu umeongea point nzuri. Sasa kumbuka kwamba hii thread imeandikwa kutokana na habari ilivyoripotiwa katika IPPMedia na Mwananchi, ambazo zimewekwa kama source. Sasa iweje maelezo unayosema yako Instagram lakini magazeti makubwa kama IPP na Mwananchi hawakuipata?Kwenye instagram page nyingi tu za vyombo vya habari vya Tanzania ikiwemo clouds,Tbc n.k.
Maelezo ya Mfugale yalipelekea Waziri Mkuu amwambie "nashukuru kwa hayo maelezo maana nilifikiri kuna kamgomo baridi."
Siku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya Morogoro hadi Dodoma na kusababisha uvunjikaji wa daraja, basi aondolewe mara moja Morogoro na kurudishwa wizarani kupangiwa kazi nyingine. Wazirir Mkuu alikasirishwa na kitendo hicho kwa kuwa fedha za kufanyia ukaguzi zilikuwapo na alibainisha kwamba daraja hilo lingefanyiwa ukaguzi lisingevunjika.
Aliporudi Morogoro kuangalia maendeleo ya kazi, Waziri Mkuu ameshangaa kukuta meneja wa Tanroads Morogoro bado hajaondolewa. Alikerwa na hilo na kuuliza kwa nini meneja huyo bado hajaondolewa licha ya agizo lake. Kwa kujiamini kabisa, Mfugale alimjibu Waziri Mkuu kwamba "Andalwisye ni mmoja wa mainjinia wachache wenye utaalamu wa ujenzi wa madaraja, kwa hiyo huduma yake bado inahitajika hapa. Wewe ulitoa agizo na mimi ndio mtekelezaji, lakini bado tunahitaji utaalamu wake".
Ukweli ni kwamba si kweli kwamba Tanzania hatuna mainjinia wa kutosha wa ujenzi wa madaraja. Wapo wengi sana. Na tangu lini amri ya Waziri Mkuu inapingwa kwa sababu anaetuhumiwa anaonekana bado anahitajika? Watumishi wangapi wanaondolewa kwa amri toka juu licha ya utumishi wao kuhitajika?
Waziri Mkuu ni kiongozi anamuwakilisha Raisi kiutendaji. Je Raisi Magufuli anaweza kutoa amri na mteule wa chini akaikiuka kwa kuwa mtu aliyetumbuliwa bado anahitajika?
Katika hali ya kawaida Mfugale anatakiwa kuwajibishwa. Kufuata protokali, alitakiwa akamuombe Waziri Mkuu Majaliwa kwamba huyo Meneja wa Morogoro abaki kwa sasa - kitu tunaita "no surprise" katika mambo ya utawala. Kitendo alichofanya Mfugale ni kumdhalilisha Waziri Mkuu na Waziri wake wa Ujenzi.
Kwani kulikuwa na ubaya gani kwa Mfugale kuteua meneja mpya wa Tanroads Mororgoro na kumpeleka Andalwisye kwenye site kama mtaalamu tu kutoka Wizarani kama ni kweli anahitajika kiasi hicho? Kwani hilo daraja ni lazima lijengwe Andalwisye akiwa ndio meneja wa Tanroads Morogoro?
Sasa suala la kujiuliza ni kwamba Mfugale ametoa wapi ujasiri wa kumvimbia Waziri Mkuu na hata Waziri wake wa Ujenzi? Mengi sana yamesemwa kuhusu uhusiano wa Magufuli na Mfugale kuhusiana na miradi ya barabara wakati Magufuli ni waziri wa ujenzi. Watu hawakushangazwa na flyover ya Tazara kupewa jina la Mfugale.
Je, hilo ndilo linalomfanya Mfugale aone kwamba yuko "untouchable" na Waziri Mkuu Majaliwa na anaweza kumvimbia? Tangu lini amri ya Waziri Mkuu inakuwa "overruled" na mtu kama Mfugale ambaye kimadaraka yuko chini ya Waziri wa Ujenzi? Kumbuka amri hii ilitolewa na Majaliwa kwa Waziri wa Ujenzi, kwa hiyo kimsingi, Mfugale amemvimbia Waziri wake wa Ujenzi pamoja na Waziri Mkuu.
Source:
Majaliwa ahoji aliyemhamisha kuendelea na kazi
PM aghast to find manager he transferred still at work
Agizo la Majaliwa lilikuwa la kipuuzi sana.Siku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya Morogoro hadi Dodoma na kusababisha uvunjikaji wa daraja, basi aondolewe mara moja Morogoro na kurudishwa wizarani kupangiwa kazi nyingine. Wazirir Mkuu alikasirishwa na kitendo hicho kwa kuwa fedha za kufanyia ukaguzi zilikuwapo na alibainisha kwamba daraja hilo lingefanyiwa ukaguzi lisingevunjika.
Aliporudi Morogoro kuangalia maendeleo ya kazi, Waziri Mkuu ameshangaa kukuta meneja wa Tanroads Morogoro bado hajaondolewa. Alikerwa na hilo na kuuliza kwa nini meneja huyo bado hajaondolewa licha ya agizo lake. Kwa kujiamini kabisa, Mfugale alimjibu Waziri Mkuu kwamba "Andalwisye ni mmoja wa mainjinia wachache wenye utaalamu wa ujenzi wa madaraja, kwa hiyo huduma yake bado inahitajika hapa. Wewe ulitoa agizo na mimi ndio mtekelezaji, lakini bado tunahitaji utaalamu wake".
Ukweli ni kwamba si kweli kwamba Tanzania hatuna mainjinia wa kutosha wa ujenzi wa madaraja. Wapo wengi sana. Na tangu lini amri ya Waziri Mkuu inapingwa kwa sababu anaetuhumiwa anaonekana bado anahitajika? Watumishi wangapi wanaondolewa kwa amri toka juu licha ya utumishi wao kuhitajika?
Waziri Mkuu ni kiongozi anamuwakilisha Raisi kiutendaji. Je Raisi Magufuli anaweza kutoa amri na mteule wa chini akaikiuka kwa kuwa mtu aliyetumbuliwa bado anahitajika?
Katika hali ya kawaida Mfugale anatakiwa kuwajibishwa. Kufuata protokali, alitakiwa akamuombe Waziri Mkuu Majaliwa kwamba huyo Meneja wa Morogoro abaki kwa sasa - kitu tunaita "no surprise" katika mambo ya utawala. Kitendo alichofanya Mfugale ni kumdhalilisha Waziri Mkuu na Waziri wake wa Ujenzi.
Kwani kulikuwa na ubaya gani kwa Mfugale kuteua meneja mpya wa Tanroads Mororgoro na kumpeleka Andalwisye kwenye site kama mtaalamu tu kutoka Wizarani kama ni kweli anahitajika kiasi hicho? Kwani hilo daraja ni lazima lijengwe Andalwisye akiwa ndio meneja wa Tanroads Morogoro?
Sasa suala la kujiuliza ni kwamba Mfugale ametoa wapi ujasiri wa kumvimbia Waziri Mkuu na hata Waziri wake wa Ujenzi? Mengi sana yamesemwa kuhusu uhusiano wa Magufuli na Mfugale kuhusiana na miradi ya barabara wakati Magufuli ni waziri wa ujenzi. Watu hawakushangazwa na flyover ya Tazara kupewa jina la Mfugale.
Je, hilo ndilo linalomfanya Mfugale aone kwamba yuko "untouchable" na Waziri Mkuu Majaliwa na anaweza kumvimbia? Tangu lini amri ya Waziri Mkuu inakuwa "overruled" na mtu kama Mfugale ambaye kimadaraka yuko chini ya Waziri wa Ujenzi? Kumbuka amri hii ilitolewa na Majaliwa kwa Waziri wa Ujenzi, kwa hiyo kimsingi, Mfugale amemvimbia Waziri wake wa Ujenzi pamoja na Waziri Mkuu.
Source:
Majaliwa ahoji aliyemhamisha kuendelea na kazi
PM aghast to find manager he transferred still at work
Kwa hiyo ni halali kwa watendaji kufanya dharau ili tusiue nchi? Surely kuna katika system yeyote lazima kuwe na checks and controls? Chanzo cha yote ni nini - uzembe katika kusafisha njia ya maji kwenye daraja na kusababisha uharibifu wenye hasara kubwa. Sasa watu wasiwajibishwe kwa kuwa ni watendaji tutaua nchi?Mkibishana na kuwadharau watendaji mtaiua nchi. Maprofesa ni wengi lakini Einstein ni mmoja tu. Shika kauli yangu na utafakari.
Mfugale alisema hivi,Kwenye instagram page nyingi tu za vyombo vya habari vya Tanzania ikiwemo clouds,Tbc n.k.
Maelezo ya Mfugale yalipelekea Waziri Mkuu amwambie "nashukuru kwa hayo maelezo maana nilifikiri kuna kamgomo baridi."
Acheni kulaumu bila kuwa na taarifa zote. Majaliwa aliuliza chanzo cha daraja kukatika. Akaambiwa kwamba daraja lilikatika kwa kuwa kutokana na mvua za muda mrefu kulikuwa na accumulation ya takataka chini ya daraja zilizofanya maji yasipite vizuri. Kutokana na hili maji yalianza kuchimba kingo za daraja na kutengeneza njia mpya, na hatimae daraja kusombwa.Agizo la Majaliwa lilikuwa la kipuuzi sana.Tangu uhuru kuna madaraja mangapi yamevunjika kwa sababu tofauti tofauti? Hili la mvua linaweza kutokea popote. Engineer awe na kazi ya kubashiri madhara kwenye madaraja? Kikubwa ni kuhakikisha yana viwango stahiki wakati wa ujenzi. Ukaguzi ni sawa lakini he akikagua leo lipo sawa na kesho mvua kubwa ikanyesha, bado alaumiwe?
Kwa hili PM alichemsha.
Kwa hiyo ni halali kwa watendaji kufanya dharau ili tusiue nchi? Surely kuna katika system yeyote lazima kuwe na checks and controls? Chanzo cha yote ni nini - uzembe katika kusafisha njia ya maji kwenye daraja na kusababisha uharibifu wenye hasara kubwa. Sasa watu wasiwajibishwe kwa kuwa ni watendaji tutaua nchi?
Mara ngapi nimesema humu ndani kwa nini TANROADS hawafanyi ukaguzi wa mara kwa mara wa barabara kuu matokeo kunakuwa na mashimo makubwa ya ghafla barabarani ambayo yamesababisha ajali nyingi zilizoua watu? Kitu gani kinawashinda Tanroads kufikia haya mashimo hata kwa mawe na mchanga kwa muda na kuzuia ajali hizi?
Sema, ni ajali ngapi umesikia zilitokea kwa kuwa dereva alikuwa anakwepa shimo kubwa barabarani aliloliona ghafla? Je umesahau waandishi wa habari waliokufa kwa ajali kama hiyo? Na kwa nini hilo shimo liwepo barabarani kwa muda wa zaidi ya mwezi au hata wiki na Tanroads wapo na pesa ya kurekebisha vitu kama hivyo tunachangia katika kunuua mafuta?
Unasubiri ndugu yako wa karibu afe kutokana na gari yao kugongwa na basi lililokuwa linakwepa shimo na kuhama upande wake ndio muelewe uzembe wa TANROADS ambao Majaliwa alikuwa akiukemea hapa?
Jadili mambo ya msingi namna kukwamua jamii yako kiuchumi na kuondoa njaa kijijini kwenu unapata muda wa kujadili watu wenye uhakika na kula.Siku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya Morogoro hadi Dodoma na kusababisha uvunjikaji wa daraja, basi aondolewe mara moja Morogoro na kurudishwa wizarani kupangiwa kazi nyingine. Wazirir Mkuu alikasirishwa na kitendo hicho kwa kuwa fedha za kufanyia ukaguzi zilikuwapo na alibainisha kwamba daraja hilo lingefanyiwa ukaguzi lisingevunjika.
Aliporudi Morogoro kuangalia maendeleo ya kazi, Waziri Mkuu ameshangaa kukuta meneja wa Tanroads Morogoro bado hajaondolewa. Alikerwa na hilo na kuuliza kwa nini meneja huyo bado hajaondolewa licha ya agizo lake. Kwa kujiamini kabisa, Mfugale alimjibu Waziri Mkuu kwamba "Andalwisye ni mmoja wa mainjinia wachache wenye utaalamu wa ujenzi wa madaraja, kwa hiyo huduma yake bado inahitajika hapa. Wewe ulitoa agizo na mimi ndio mtekelezaji, lakini bado tunahitaji utaalamu wake".
Ukweli ni kwamba si kweli kwamba Tanzania hatuna mainjinia wa kutosha wa ujenzi wa madaraja. Wapo wengi sana. Na tangu lini amri ya Waziri Mkuu inapingwa kwa sababu anaetuhumiwa anaonekana bado anahitajika? Watumishi wangapi wanaondolewa kwa amri toka juu licha ya utumishi wao kuhitajika?
Waziri Mkuu ni kiongozi anamuwakilisha Raisi kiutendaji. Je Raisi Magufuli anaweza kutoa amri na mteule wa chini akaikiuka kwa kuwa mtu aliyetumbuliwa bado anahitajika?
Katika hali ya kawaida Mfugale anatakiwa kuwajibishwa. Kufuata protokali, alitakiwa akamuombe Waziri Mkuu Majaliwa kwamba huyo Meneja wa Morogoro abaki kwa sasa - kitu tunaita "no surprise" katika mambo ya utawala. Kitendo alichofanya Mfugale ni kumdhalilisha Waziri Mkuu na Waziri wake wa Ujenzi.
Kwani kulikuwa na ubaya gani kwa Mfugale kuteua meneja mpya wa Tanroads Mororgoro na kumpeleka Andalwisye kwenye site kama mtaalamu tu kutoka Wizarani kama ni kweli anahitajika kiasi hicho? Kwani hilo daraja ni lazima lijengwe Andalwisye akiwa ndio meneja wa Tanroads Morogoro?
Sasa suala la kujiuliza ni kwamba Mfugale ametoa wapi ujasiri wa kumvimbia Waziri Mkuu na hata Waziri wake wa Ujenzi? Mengi sana yamesemwa kuhusu uhusiano wa Magufuli na Mfugale kuhusiana na miradi ya barabara wakati Magufuli ni waziri wa ujenzi. Watu hawakushangazwa na flyover ya Tazara kupewa jina la Mfugale.
Je, hilo ndilo linalomfanya Mfugale aone kwamba yuko "untouchable" na Waziri Mkuu Majaliwa na anaweza kumvimbia? Tangu lini amri ya Waziri Mkuu inakuwa "overruled" na mtu kama Mfugale ambaye kimadaraka yuko chini ya Waziri wa Ujenzi? Kumbuka amri hii ilitolewa na Majaliwa kwa Waziri wa Ujenzi, kwa hiyo kimsingi, Mfugale amemvimbia Waziri wake wa Ujenzi pamoja na Waziri Mkuu.
Source:
Majaliwa ahoji aliyemhamisha kuendelea na kazi
PM aghast to find manager he transferred still at work
Sawa ndugu yangu. Sio kuwa nina chuki na Mfugale. Mimi nadhani uhusiano wake na Magufuli unamfanya ajisahau sana. Ingekuwa busara kama Magufuli angemhamisha - siku zote familiarity breeds contempt. In fact suala alilosema Majaliwa kwa nini TANROADS hawakagui barabara nililisema katika hii thread yangu ya December mwaka janaNakuelewa kuhuzunishwa na kusononeshwa na yote uliyoyataja. Na huko ndio kuwajibika na kuwa na uchungu na nchi yako.
Ninachokisema mimi ni hiki na si kwa huyo aliyeondolewa katika nafasi hiyo tu bali kwa nchi nzima kwa ujaumla. Soma vizuri:
Sipendi hata siku moja maswala ya kitaalam yatatuliwe kisiasa. Wakuu wa mikoa, wilaya na mawaziri wamekuwa wakihamaki kutoa adhabu kwa kukurupuka, tena hadharani hivi hasa dhumuni ni nini kama sio kujiimarisha kisiasa. Rejea hotuba ya kiongozi wa chama cha madaktari kwa Rais Magufuli juu ya kipengele cha kuwekwa ndani madaktari na manesi mbele ya hadhara.
Kulikuwa na ugumu gani kwa Waziri mkuu kukaa kikao ofisini na Mfugale na kuchukua uamuzi wa pamoja baada ya kumsikiliza mkuu wa mfanyakzi huyu ana maoni gani? Huu ndio utendaji kazi pahala popote pale, ambao utaweza kuepuka mgongano wa viongozi kama ulivyoueleza katika thread yako.
Najua uchaguzi ni karibu lakini wanasiasa ni lazima wajiangalie sana na kuacha tabia hii mara moja.
Na kwa maoni yako suala la uzembe unaosababisha daraja kusombwa na njia kuu ya Morogoro - Dodoma kufungwa kwa siku kadhaa sio suala la kukwamua jamii kiuchumi? Hebu kasome thread za Waziri akojoa kitandani kwenye forum za udaku usitupotezee muda hapa.Jadili mambo ya msingi namna kukwamua jamii yako kiuchumi na kuondoa njaa kijijini kwenu unapata muda wa kujadili watu wenye uhakika na kula.
Sent using Jamii Forums mobile app
You have a point if that is the case.Acheni kulaumu bila kuwa na taarifa zote. Majaliwa aliuliza chanzo cha daraja kukatika. Akaambiwa kwamba daraja lilikatika kwa kuwa kutokana na mvua za muda mrefu kulikuwa na accumulation ya takataka chini ya daraja zilizofanya maji yasipite vizuri. Kutokana na hili maji yalianza kuchimba kingo za daraja na kutengeneza njia mpya, na hatimae daraja kusombwa.
Ndipo akauliza, kwa nini ukaguzi hauuwa unafanywa kuhakikisha tatizo kama hilo halitokei? Ni kwamba kama TANROADS wangekuwa wanafanya ukaguzi basi wangeona takataka zilizo accumulate chini ya daraja. Zingesafishwa daraja lisingesombwa na kukatika kwa kuwa maji yangekuwa na free flow.
Mbona Majaliwa alieleza hili? Acheni kukurupuka kutoa comment bila kujua kisa chote.
Thanks brother, apologies for any misunderstanding between usYou have a point if that is the case.
Kwa maana hiyo naona Mfugale anamlinda mwizi mwenzie wajenge lingine wapige pesa na kiranja mkuu
sikiliza kuanzia sekunde ya 2.30 mpaka 4.01 utajua ukweli halisi.Ahaa. Mkuu umeongea point nzuri. Sasa kumbuka kwamba hii thread imeandikwa kutokana na habari ilivyoripotiwa katika IPPMedia na Mwananchi, ambazo zimewekwa kama source. Sasa iweje maelezo unayosema yako Instagram lakini magazeti makubwa kama IPP na Mwananchi hawakuipata?
Mkuu angalia isije ukawa unatoa habari ya kutengenezwa baada ya uongozi kuona kuna tatizo na sasa wakatafuta namna ya kufanya "damage control" na kutengeneza hizo habari ulizoona wewe. Serikali itatumia magazeti ambayo ni rahisi "kutumika" katika damage control, lakini hawataenda IPPMedia na Mwananchi.
Hebu tuwekee link ya hivyo vyombo vya habari unavyovisema vimeripoti tofauti na IPPMedia na Mwananchi.
Mimi nadhani kulikuwa na mkakati wa damage control baada ya uongozi kuiona hii thread na kuona kweli protokali iliborongwa. Hiyo ni namna ya damage control na ku-save face, ili Mfugale asiwajibishwe na Majaliwa aridhishwe na wananchi wapigwe goli la dobo.
sikiliza kuanzia sekunde ya 2.30 mpaka 4.01 utajua ukweli halisi.
ahsante
PM hajakurupuka kutoa ilo agizo kumbuka nae ana inteligency inayompa taarifa za kila kitu.Synthesizer,
Mi naona kuna tatizo kubwa zaidi kwanza kumekuwa na maagizo yanayotolewa kuwa ondoa mtu fulani pale au pale wakati huyo mtu kiutendaji haripoti kwa huyo anayeelekeza aomdolewe.
Utaratibu mtu kama utendaji wake una mapungufu yanaonekana na boss wake anayemsimamia sasa anapotokea kiongozi wa juu anaruka wasimamizi anakwenda kuondoa mtu ambaye siyo yeye anayemsimamia haieleweki ametumia utawalam gani kuona mapungufu ya mtu ambaye hasimamiwi na yeye na hivyo kuwajengea hofu watendaji wa chini bila sababu.
Kama Waziri Mkuu angekuwa yuko makini alitakiwa kumuondoa yule anayeripoti kwake moja kwa moja kuhusiana na hayo na kama hana mamlaka ya uteuzi wa huyo mtu angeweza kuelekeza mamlaka ya uteuzi lakini siyo kumwambia waziri ondoa yule pale kwani huyo Waziri hamuoni huyo mtu utendaji wake hadi asubiri kuelekezwa na Waziri Mkuu.
Hiwezekani kiongozi wa juu aniagize mimi nimfukuze msaidizi wangu wakati sioni mapungufu ya utendaji wake wa kazi na yeye bosi wangu hawezi kuona mapungufu ya msaidizi wangu yeye ataona mapungufu ya mimi na ana haki ya kuniwajinisha mimi kwa mapungufu anayoyaona na siyo kuniruka mimi na kuanza kuwajibisha mtu wa chini yangu Hiyo siyo sahihi.
Mimi kwa hili nasimama na Mfugale, nina imani litaondoa hofu kwa wafanyakazi wa Ngazi ya kati kufanywa kafara wa kila pungufu linapotokea wakati katika uhalisia hakuna mapungufu yoyote yanayokuwa yamenainishwa na viongozi wao isipokuwa kusema wanatekeleza maagizo kutoka juu kama vile kuna chuki tu binafsi kwa baadhi ya watendaji wa kati.
Siri kubwa sanaSiku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya Morogoro hadi Dodoma na kusababisha uvunjikaji wa daraja, basi aondolewe mara moja Morogoro na kurudishwa wizarani kupangiwa kazi nyingine. Wazirir Mkuu alikasirishwa na kitendo hicho kwa kuwa fedha za kufanyia ukaguzi zilikuwapo na alibainisha kwamba daraja hilo lingefanyiwa ukaguzi lisingevunjika.
Aliporudi Morogoro kuangalia maendeleo ya kazi, Waziri Mkuu ameshangaa kukuta meneja wa Tanroads Morogoro bado hajaondolewa. Alikerwa na hilo na kuuliza kwa nini meneja huyo bado hajaondolewa licha ya agizo lake. Kwa kujiamini kabisa, Mfugale alimjibu Waziri Mkuu kwamba "Andalwisye ni mmoja wa mainjinia wachache wenye utaalamu wa ujenzi wa madaraja, kwa hiyo huduma yake bado inahitajika hapa. Wewe ulitoa agizo na mimi ndio mtekelezaji, lakini bado tunahitaji utaalamu wake".
Ukweli ni kwamba si kweli kwamba Tanzania hatuna mainjinia wa kutosha wa ujenzi wa madaraja. Wapo wengi sana. Na tangu lini amri ya Waziri Mkuu inapingwa kwa sababu anaetuhumiwa anaonekana bado anahitajika? Watumishi wangapi wanaondolewa kwa amri toka juu licha ya utumishi wao kuhitajika?
Waziri Mkuu ni kiongozi anamuwakilisha Raisi kiutendaji. Je Raisi Magufuli anaweza kutoa amri na mteule wa chini akaikiuka kwa kuwa mtu aliyetumbuliwa bado anahitajika?
Katika hali ya kawaida Mfugale anatakiwa kuwajibishwa. Kufuata protokali, alitakiwa akamuombe Waziri Mkuu Majaliwa kwamba huyo Meneja wa Morogoro abaki kwa sasa - kitu tunaita "no surprise" katika mambo ya utawala. Kitendo alichofanya Mfugale ni kumdhalilisha Waziri Mkuu na Waziri wake wa Ujenzi.
Kwani kulikuwa na ubaya gani kwa Mfugale kuteua meneja mpya wa Tanroads Mororgoro na kumpeleka Andalwisye kwenye site kama mtaalamu tu kutoka Wizarani kama ni kweli anahitajika kiasi hicho? Kwani hilo daraja ni lazima lijengwe Andalwisye akiwa ndio meneja wa Tanroads Morogoro?
Sasa suala la kujiuliza ni kwamba Mfugale ametoa wapi ujasiri wa kumvimbia Waziri Mkuu na hata Waziri wake wa Ujenzi? Mengi sana yamesemwa kuhusu uhusiano wa Magufuli na Mfugale kuhusiana na miradi ya barabara wakati Magufuli ni waziri wa ujenzi. Watu hawakushangazwa na flyover ya Tazara kupewa jina la Mfugale.
Je, hilo ndilo linalomfanya Mfugale aone kwamba yuko "untouchable" na Waziri Mkuu Majaliwa na anaweza kumvimbia? Tangu lini amri ya Waziri Mkuu inakuwa "overruled" na mtu kama Mfugale ambaye kimadaraka yuko chini ya Waziri wa Ujenzi? Kumbuka amri hii ilitolewa na Majaliwa kwa Waziri wa Ujenzi, kwa hiyo kimsingi, Mfugale amemvimbia Waziri wake wa Ujenzi pamoja na Waziri Mkuu.
Source:
Majaliwa ahoji aliyemhamisha kuendelea na kazi
PM aghast to find manager he transferred still at work
Uzembe wa TANROADS sijaanza kuuandika leo. Ukweli ni kwamba mimi nachukia watu wazembe, wawe TANROADS au Polisi au hata serikali. Ajali nyingi Tanzania naona zinatokea kwa uzembe tu wa TANROADS, pamoja na hili suala la daraja. Angalia hii thread ya 31 Dec 2019.
Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori
Ndio mkuu wao sio anapata tu ila wapo chini yakePM hajakurupuka kutoa ilo agizo kumbuka nae ana inteligency inayompa taarifa za kila kitu.