Mfugale fly over, Daraja la juu la Kijazi, Magufuli Bus Terminal, Soko la Chifu Kingalu na Soko la Ndugai miradi iliyotukuka

πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Unamaanisha Ndugai ni wa mwisho kweli kwenye list au ni coincedence!
 
Unazunguka sana mkuu,hata hivyo tuseme atakalo mola huwa!
 
Ni miradi iliyofunguliwa na hayati Magufuli.

Ni miradi yenye kumbukumbu nzuri katika kurahisisha shughuli za jamii kwa maeneo husika.

Ni miradi itakayokumbukwa kwa muda mrefu.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Katika hiyo list bado wawili wafe ili kukamilisha mzunguko
 
Chifu Kingwalu ni Mtawala wa wapi?
Je bado yupo au naye alishatangulia?
 
Ni miradi iliyofunguliwa na hayati Magufuli.

Ni miradi yenye kumbukumbu nzuri katika kurahisisha shughuli za jamii kwa maeneo husika.

Ni miradi itakayokumbukwa kwa muda mrefu.

Nawasalimu kwa jina la JMT!

Mkuu ni Chief Kingalu siyo Kingwalu. Huyo naye sidhani kama angalipo hai.

Ma Sekulu tokea mji kasoro bahari mwongozo wenu kumhusu chief Kingalu itapendeza zaidi.

Wapumzike kwa amani watukuka wote katika orodha yako waliokwisha kututangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…