Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LAPF ndio mpango mzima kwa sasa. hapa kigoma wafanyakazi walio kwenye mifuko mingine hasa pspf na nssf wamekuwa wakilalamika na kuomba wajiunge na LAPF ingawa sheria hairuhusu kuhama mfuko labda ujiunge kwa mfumo wa kuchangia we mwenyewe kwa hiyari
pspf ndo bora zaidi
Wadau mfuko bora ni LAPF,nimewahi huzuria semina zao,ukokotoaji wa mafao yao n mzuri.Hii imewafanya kupata tuzo kwa miaka 5 mfululizo kama mfuko bora wa hifadhi ya jamii nchini.
PSPF NDOO MPANGO MZIMA. UKIJIUNGA NA LAPT UTAKUJANIKUMBUKA. Washauri na rafiki zako unaowapenda na kuwajali. PSPF ndo mfuko wenye mafao matamu.
Unasemaje PSPF ni bora mbona unashindwa kucompete na LAPF au kwasbb walimu wengi wapo huko?tunataka mfuko wenye sera nzuri,utawala bora,ukokotoaji mzuri na mengineo.Wadau tusijiunge na mfuko kwa kufuata mkumbo.
Kama ndio kwanza unaanza kazi haijalishi ni mfuko upi mzuri kwsbu serikali iko mbioni kuharmonize fomula ya mafao kwa mifuko yote na hatimaye kumerge kuwa na mfuko 1 tuu. Chance ni kubwa km unaanza kazi leo ukaingia katika hii new plan!