tukunyemamzee
Member
- Feb 20, 2014
- 90
- 72
Kamanda ukijiunga huko siku ukitaka kutoa chako ndo majanga yanaanza. Utakuta akaunti yako michango kibao inamiss. Hapo watakupa fom ukawaombe waajiri wako wote wakujazie na wapige mihuri yao. Kasheshe kama uliondoka vibaya kwa mwajiri wako, hesabu mafao yako yamepotea. Ukishamaliza huo mlolongo utasubiri miezi ya kutosha kupata pesa yako. Na papohapo inabidi ujifunze ubabe kuwapiga mkwara maafisa wa NSSF ndo washughulikie malipo yako. Kama huamini fanya simple survey nenda ofisi za NSSF Ubungo uone watu wanavyotaabika na pesa zao. NI ZAIDI YA WALE WAZEE WASTAAFU WA ILIYOKUWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKIHamjaizungumzia NSSF inamadhaifu gani?