Mfuko bora wa pesheni ni upi kwa walimu watarajiwa?

Mfuko bora wa pesheni ni upi kwa walimu watarajiwa?

Hamjaizungumzia NSSF inamadhaifu gani?
Kamanda ukijiunga huko siku ukitaka kutoa chako ndo majanga yanaanza. Utakuta akaunti yako michango kibao inamiss. Hapo watakupa fom ukawaombe waajiri wako wote wakujazie na wapige mihuri yao. Kasheshe kama uliondoka vibaya kwa mwajiri wako, hesabu mafao yako yamepotea. Ukishamaliza huo mlolongo utasubiri miezi ya kutosha kupata pesa yako. Na papohapo inabidi ujifunze ubabe kuwapiga mkwara maafisa wa NSSF ndo washughulikie malipo yako. Kama huamini fanya simple survey nenda ofisi za NSSF Ubungo uone watu wanavyotaabika na pesa zao. NI ZAIDI YA WALE WAZEE WASTAAFU WA ILIYOKUWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
 
PSPF NDOO MPANGO MZIMA. UKIJIUNGA NA LAPT UTAKUJANIKUMBUKA. Washauri na rafiki zako unaowapenda na kuwajali. PSPF ndo mfuko wenye mafao matamu.

LAPF ndo mpango mzima ni Mfuko unaotoa mafao kuanzia leo hadi unastaafu kwa maana ya kwamba mwanachama anaanza kunufaika mapema na michango yake tofauti na mifuko mingine.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu, hizo ni ndoto kama mji wa kisasa wa Kigamboni. Mifuko inatakiwa ishindane na mfuko wenye afya ndio utakaolipa mafao bora zaidi. NSSF na PPF wana mafao kiduchu ajabu kiasi kwamba Manager anayechangia huko anapata vijisent kiduchu ukilinganisha na secretary wake anayechangia LAPF wakati mshahara wa secretary haufiki hata robo ya meneja. LAPF The best, wako fasta kulipa na unatoka na mfuko umetuna tofauti na kwengine

Upo sawa kabisa mkuu, kuna watu huwa wanarubunika na ushauri wa ndugu zao waliopo makazini na mwisho wa siku baada ya kugundua kuwa machaguo waliofanya sio wanaanza kutafuta jinsi ya kuhama. Kuna washkaji zangu kibao wanataka kuswitch kwenda LAPF lakini it's too late.
 
Thanks' walimu wangu tarajari hata mm pia nmeshawah huzuria semina moja wapo ya LAPF! ALPF ndo mpango mzm, "hatoki mtu hapa"
 
Thanks' walimu wangu tarajari hata mm pia nmeshawah huzuria semina moja wapo ya LAPF! ALPF ndo mpango mzm, "hatoki mtu hapa"

Asante. Nawe ukawe balozi kwa wenzako ili nao wafanye maamuzi sahihi
 
PSPF NDOO MPANGO MZIMA. UKIJIUNGA NA LAPT UTAKUJANIKUMBUKA. Washauri na rafiki zako unaowapenda na kuwajali. PSPF ndo mfuko wenye mafao matamu.

Acha upotoshaji mkuu wanatoa mafao mangapi na ukokotoaji wake ukoje kwa kufananisha na wengine au uko kishabiki zaidi? Kumbuka LAPF is no more a provident as it used to be bt saiv ni pensheni ambao calculation zake ziko vizuri kabisa, hao PSPF je unajua wana uwezo wa kuishi miaka mingapi mbele kutokana na poor investment walizozifanya with poor returns? Soma kwanza actuarial evaluation zao na report za ukaguzi ndipo utajua kuwa PSPF limebaki jina na historia tu ndio inawalinda bt is no longer a best pension fund.
 
LAPF ndo mfuko bora ambao utakupa uhakika kwny pensheni yako,formula ya ukokotoaji inakupa mchangiaji pesa nyng tofauti na mifuko mingine jamaa ni sustainable kiuchumi nakushauri ujiunge LAPF kwa kweli ila mtapewa pia semina huko kwny ajira zenu kila shirika litatuma mwakilishi wasikilize utachambua la msingi.
 
Nackia kunabaadhi ya wakurugenzi/maafisa elimu uwa wanashnikiza kujiunga na mfuko fulan! je kuna ukweli kuhusu hilo?
 
ingia LAPF...ingawa kuna baadhi ya maafsa elimu watawalazmisha kujaza pspf,haina ishu.ndiyo maana wanatumia nguvu mjiunge.wamechoka siku hizi
 
Nackia kunabaadhi ya wakurugenzi/maafisa elimu uwa wanashnikiza kujiunga na mfuko fulan! je kuna ukweli kuhusu hilo?

Haswaa, wanakuwaga tayari washajazwa vijisenti..so wanatumia ugeni na uoga wa waajiriwa wapya kuwatishia kutowapangia vituo endapo wataviolate maagizo yao. Issue ya msingi katika hilo ni kujitambua na kuelewa kuwa mwajiri haruhusiwi kumforce mwajiriwa kujiunga mfuko fulani just kwa manufaa yake binafsi. Yakizidi ripoti kwenye vyombo vya sheria.
 
Nackia kunabaadhi ya wakurugenzi/maafisa elimu uwa wanashnikiza kujiunga na mfuko fulan! je kuna ukweli kuhusu hilo?

Tatizo mwanzoni sheria ilikua inamlazimisha mwalimu awe mchangiaji wa PSPF ila mabadiliko ya sheria ya 2008 km sikosei inampa uhuru mfanyakazi kuchagua mfuko ila tatizo Maafisa elimu wanatumia advantage ya watumishi wapya kutojua hilo kuwalazimisha kujiunga na PSPF nalo ni kosa kisheria.
 
Ni kweli LAPF ni mfuko bora kwa walimu. Ukokotoaji wa LAPF una unafuu kwa mtumishi kwani huchangia 5% kati ya 20% na mwajili wake huchangia 15%. Hivyo una mzigo mdogo kwa mtumishi ukizingatia mishahara ya walimu wetu
 
Hasa mtu utafanyeje endapo ukakuta unashnikizwa ujiunge na mfuko fulani wacje tubabaisha hao mm nataka LPF tu, Alfu nmewai udhuria semina zao wakatupatia na namba za simu endapo kukatokea tatizo wakadai tuwapigie
 
Hakuna wakukulazimisha kuna sheria inakulinda,ntakupa hicho kifungu.LAPF ni chaguo letu wadau.
 
Je kuna hasara yoyote kama sitajiunga na hiyo mifuko?
 
Naomba unisaidie hizo namba za hao agents wa LAPF mimi ni member

Back
Top Bottom