Pspf !!
Lapf
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
usithubtu kuingia pspf ndugu..
Pspf !!
PSPF imepitwa na wakati.
Pspf ndo mfuko wa ukweli wengine matapeli tu. Kama nssf wamejazana wafuasi wa mudi wanakula tu ela za wajinga
Mkuu wengi wanaongea tu, hawaujui ukweli !
Tafadhal walimu Wazoefu 2ngependa kujua mfuko bora wa peshen kwa cc walimu? na je ni upi ulio bora zaidi kati ya PSPF & LAPF, Plz msaada tafadhal