Mfuko gani wa penshen nijiunge leo? (kwa mm mwalimu)

Mfuko gani wa penshen nijiunge leo? (kwa mm mwalimu)

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
300
Tafadhal walimu Wazoefu 2ngependa kujua mfuko bora wa peshen kwa cc walimu? na je ni upi ulio bora zaidi kati ya PSPF & LAPF, Plz msaada tafadhal
 
Lapf

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Pspf ndo mfuko wa ukweli wengine matapeli tu. Kama nssf wamejazana wafuasi wa mudi wanakula tu ela za wajinga
 
Mkuu wengi wanaongea tu, hawaujui ukweli !

LAPF ni mfuko kuna fao la kujitoa the kama wife au wewe mwenyewe ukijifungua wana fao.wanakopesha pesa ujenge pspf wao eti wanajenga nyumba wanakukopesha so take care
 
ukistaafu na lapf unachukua hela nyingi kuliko mifuko yoyote...mtalia mtakaoingia pspf kufuata uzoefu.
 
sijiung pspf me na lapf axe chezea sam,we kariri uumie.
 
Tafadhal walimu Wazoefu 2ngependa kujua mfuko bora wa peshen kwa cc walimu? na je ni upi ulio bora zaidi kati ya PSPF & LAPF, Plz msaada tafadhal

weweee LAPF ndo mpango mzima kwanza formula yao ya ukokotoaji tu,mfuko bora tz kwan tuzo wana za kutosha hawa jamaa kwa kumjali mwanachama pspf mtalia na kusaga meno ohooo
 
Back
Top Bottom