mfuko wa maendeleo ya vijana TZ,,mikopo nafuu nje nje

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,951
Wadau wa biashara nimepata taharifa kuna mfuko umeanzishwa na serikali wa vijana..huu mfuko unatoa mikopo nafuu isiyoitaji mali isohamishika kupitia halmashauri zote nchini..Sina details za kutosha kwa hio wapenda kujiajiri changamkieni coz wanatoa ata kwa miradi inayoanza
 
mjini shule kijijin tuisheni kuwa makini , oohhhhhhoooooo utaibiwa soksi huku umevaa viatu , shauri yako . ukwlei siku zote unauma ila hubaki pale pale hao ni weziii kwa maendeleo hayaji kwa njia ya dezo kama hiyo uisemayo kwani yashatolewa matamko mengi na serikali, mashirika , wadau hata humu humu jf kuwa fanya kazi kwa bidii ndo nmsing wa maendeleo na epuka matapeli wa mchana kweupeee.
 
mjini shule kijijin tuisheni kuwa makini , oohhhhhhoooooo utaibiwa soksi hujku umevaa viatu , shauri yako .

ndio nini sasa unaandika hichi!!,,,lione uko kama zuzu
 
kama hauna cha kuchangia kwenye hii thread na uhoni cha maana hapa, pita kimya kimya kama wengine usilete uzuzu...maana wabongo ambebeki
 
Ngoja tufuatilie mkuu..yawezekana ikawa ni habari njema sana ketu hii.....
 
ndio nini sasa unaandika hichi!!,,,lione uko kama zuzu

AHAHAHA ukweli kwa mbongo siku zote unaumaa...mpaka basi, ahahahah...mie ndo nasikia raha xana ninapokupa makavu live, hapa ni jukwaa la ukweli mtupu .
 
Ni kweli mfuko wa vijana ulio chini ya wizara ya habari vijana utamaduni na michezo unatoa mikopo kwa vijana japo no process ndefu kidogo maana inabidi kwanza muunde kikundi. Usiwe peke yako kisha muwe na usajiri kutoka wilayani kisha ndio mnaandika mradi wa kitu mnachotaka kufanya na kiasi mnachoomba,baada ya hapo sasa ndio mnajaza hiyo fomu ambayo inaviambatanisho vingi kama barua ya mtendaji,nalaka ya usajiri wa kikundi,cv ya kiongozi,na andiko la mradi husika kisha mnapeleka kwa afisa vijana wa wilaya yeye atawapa marks kisha atazipeleka mkoani kisha taifa ambapo kama mkionekana mnasifa. Hela inatumwa kwenye wilaya husika nyie mnaichukua wilayani kupitia tena kwenye saccoss ili kuwabana kwa hiyo marejesho mtafanya kupitia saccoss na ni ndani ya miaka miwili na riba ni asilimia 10
 
Dah mbona kuna urasimu mwingi hivi aiseee....tofauti kabisa na mikopo ya kibenki au kupitia saccoss...
 
Dah mbona kuna urasimu mwingi hivi aiseee....tofauti kabisa na mikopo ya kibenki au kupitia saccoss...

Kama unania lakini unapata maana hauna dhamana nenda kuonana na afisa vijana wa wilaya ama mkoa atakupa maelekezo mazuri pamoja na fomu
 
Dah mbona kuna urasimu mwingi hivi aiseee....tofauti kabisa na mikopo ya kibenki au kupitia saccoss...

kama una dhamana kakope benki..hii ni kwa hoe hae
 

umeeleza vizuri sana mkuu..Mungu akubariki upate uzao wenye pesa..
 
Dah mbona kuna urasimu mwingi hivi aiseee....tofauti kabisa na mikopo ya kibenki au kupitia saccoss...

Hii mikopo watapeana wenyewe tu maana wengi wetu tutaambiwa hatujakidhi viwango. Lazima urasimu utakuwepo tu.
 
Hii mikopo watapeana wenyewe tu maana wengi wetu tutaambiwa hatujakidhi viwango. Lazima urasimu utakuwepo tu.

jaribu ukishindwa ndio ulete visingizio..sasa wewe ujafatilia ushaanza lawama ivo mnajenga taifa la aina gani ninyi watu..
 
Mbona huo mfuko ni wa siku nyingi! Ila not reachabo.uko kisiasa zaidi labda kama wamejirekebisha,
 
Hakuna jipya hapa . Yale mabilioni ya kikwete yaliishia wAP? N siasa 2 kwan mgeni hapa Tz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…