KERO Mfuko wa Pembejeo Taifa (AGTF) unachelewesha mikopo kwa waombaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Waziri wa kilimo anakila haja ya kukazia macho taasisi ya Mfuko wa pembejeo taifa.

Kwa utaratibu wa kuomba mkopo ni lazima uwambatanishe andiko la mradi ambalo linaelezea mpango mkakati wa ombi lako na namna utarejesha mkopo huku ukisema muda wa kuanza mradi na muda wa kurejesha.

Sasa kwa ucheleweshaji wa upatikanaji mkopo husika unapelekea andiko kuwa nje ya muda huko kupoteza malengo ya muombaji kwenye muda husika wa mradi.

Naomba wahusika waliangalie hili maana linapoteza malengo ya muombaji mkopo na muda wa mradi kuanza na kupishana na misimu ya kilimo.
 
Kweli hili halijakaa sawa kabisa!
 
Back
Top Bottom