mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mfuko wa kinafikia sana huwa wanakanusha kila kitu ila ndo uhalisia
Mfuko wa kisiasa zaidi...Ni mfuko wa kinafikia sana huwa wanakanusha kila kitu ila ndo uhalisia
NHIF kazi kukanusha tu lkn hali ya upatikanaji wa huduma ndivyo ilivyo, hilo libima halina msaada wowote
Hii Medical Scheme inayojiita NHIF inaniboa sana. Huwa ni wepesi wa kukanusha lakini ukifuatilia vuzuri ndo uhalisia, wanaondoa madawa kwenye vifurushi lakini ni kukanusha tu hawana lolote
Lisemwalo lipo kama halipo laja.