Mfululizo wa Kesi ya Ugaidi iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu

Mbowe ni wa kumpuuza sana tu!!! ..........hana lolote kwanza mtu mwenyewe Mayai sana yule! hana mshipa wa mapambano ya kweli!...nilivo kiona kwa Mbowe anataka umaarufu kama wa kina Mandela/sobukwe/Dedan kimathi/

na kina Tafawa Balewa/Murtala Mohamad/ Martin Luther king...ili atengeneze History ya kupendwa na kuhurumiwa Tanzania na Duniani kote !! lkn dolololo!! inagonga mwamba!

Rais Mama Samia alishamshutukia kitambo sana!!.... ambye aliingia kichwa kichwa bila kujua hii janja ni Jiwe...km mnavo jua lile jamaa halikuwa na akili timamu lilikuwa lina lipuka tu km moto wa kifuu!!...

yaani ningekuwa mie Rais hee!! mpaka Mbowe ange jidharau mwenyewe live hivi!!......na wasaidizi wa Jiwe hawakuwa Charismatic kumjua mtu fake!!...Mtaka umaarufu tu!! kupitia Siasa>..yule Familia ya Mbowe ina hela Mingi taangu utotoni!! Kupitia Hotel Bilicanas!

Zamani za Disco toto ukumbi wa Disco ''Mbowe roof clouds!! Baba yake alitajirishwa na sera hizo hizo za CCM, KupitiaMkono wa Nyerere!! akashiba mafanikio na kupata akili nzuri!! akaona huko ccm hatopata umaarufu! ndo kaja huku upinzani!

Ameshiba mpaka amepitiliza sasa anachokitafuta ni umaarufu tu!! mana chama nayo majingaaa yanashangilia tu!!.....yule ana Ma- clubs mpaka nje ya nchi!!..na huko wapo kina Mbowe wengi tu!

halafu yule hafanyi upinzani wa kweli kutoka moyoni .....yule anayo fanya ni show off tu!!....hata wanao mfuata ni vijana wa kichaga ambao hawakusoma!! ....ukiona kuna Msomi pale anafuatana na Mbowe basi jua wako pamoja kutengeneza scenario fake!!!

Mbowe ni tajiri anaye penda Siasa ili kutangaza biashara zake!! Siasa za kibiashara ndani na nje ya nchi!....hkn ukombozi wa kweli pale .....sasa kuna wana siasa wajinga watampa nafasi ya ngazi za juu!! sasa hapo uone sarakasi za atakavyotafuna nchi kichaga!

Mtakaa chini wote!! Mama Mpuuuze huyo mwacheee!! futa kesi kipofu hiyooooo!! hana lolote anajipendekeza kwenye Ugaidi wakati ni mtoto wa Bibi tu yule hauwezi ugaidi huyo mayai tu!!.....ugaidi ni kulala juu ya miti kwenye maji sometimes chooni!!

sasa huyu mnavo muona atayawezaaaa!! muulizeni Kagame/Mseven Muziki wa ugaidi ni habari nzito ile......ni piga nikupige na ufe au uishi!...hao walijua hawatafika hapo walipo!!! lkn waliamua ni bora kufa wamesimama kabisa! kuliko kufa wamekaa!

Gaidi gani anaenda kulia lia kanisani? baada ya kufunguliwa ?? yaani eti ana omba mungu mzungu!! tena Mkoloni mkandamizaji eti amuhurumie!! Mweee nilikuwa nacheka mpaka basi............eti gaidi ufwile nyambala...
 
Wewe ni kafiri tu kutoka genge la wasiojulikana.
 
Wewe ni mchawi kamili, ulichokosa ni vitendea kazi tu.
 

..Nimekuelewa kwamba Mbowe hawezi kuwa gaidi.

..kwamba ushahidi uliotolewa dhidi yake ni wa uongo na kutunga.
 
Serikali ya Bongo inafanya show off Duniani hasa kwa Mabeberu kuwa na wao wana upinzani mkali nchini!... kuuumbe hakuna lolote, sasa wewe uingie uanachama kichw kichwa ukiwa mpinzani wa kweli uone moto wake ndo km yalaeee ya kina Saa Nane!

Kijana tulimpoteza mazimaaa na Elimu yake mbichiiiii!...yule aliingia mzima mzima!! sasa niwaulize Mabere Marando yuko wapi??.... Lyatonga Mrema yuko wapi???...na sasa Mbowe....... haawa wooote na wengine tunawajua! ni Usalama wa Taifa Damu damu!

majinga majinga yakiingia yanauawa kiulainiii!! wao wanasonga wanakula ruzuku!!..... Mbowe wa leo Baba yake alikunywa Maji ya Bendera ya ccm miaka hiyo kamwe kizazi hiko hakita ipinga ccm!! subiri muone!.......

Mzanaki aliisuka NCHI na ikasukika acha mchezo na Julius kambarage weye!...Mtasubiri sana Stand!!
 
Wewe ni kafiri tu kutoka genge la wasiojulikana.
Unaonaaaa?? Mr Mbowe!!! Mheshimiwa hata akili nzuri za hoja huna!!...kubali !! tunakujua....na ukweli unachoma paaaa!!...genhe l wasiojulikana ni watu!....... Na kafir km hujui ni mtu mweusi km weye!
 
Wewe ni mchawi kamili, ulichokosa ni vitendea kazi tu.
Umesahau Mchawi ana sababu!......huyo Mbowe soon! atarudi CCM! km Lowasa, ..Mrema,....Mabelle Marando!! hawa kukitosa chama ni ndoto! ni damu damu...... kwa kuwa wametengenezwa na chama na sasa Mbowe ni Tego la CCM!! Mark ma words utaniambia!

Kamwe Mbowe hataitosa ccm! ila ataiweka sehemu nzuri, na atapewa Reward!! hata km leo hii akiwa Rais!! ni ataibeba ccm tu...najua ccm mnachukia napowafungua watu macho!...Matola weye ni CCM kindaki ndaki usituzuge.....unatumiwa tu kunijibu humu!

wale wanaokufa ni wale wanaoingia chamani kichwakichwa wapinzani wa kweli hawa bana wanapotezwa tu!! tena kirahisi mno!! Mbowe ni Dola kamili analindwa na sirikaliiiii!!....CCM inajua hii ni vita kamili Kidunia!

Akitokea mpinzani wa kweli! kweli, Mchawi na Mgumu kuuawa km Zitto kabwe!! anaingizwa kwenye Mfumo wa KIgaidi wa CCM! kwa mahela meeengi...na kupewa chochite anacho taka halafu wana irusha Kisiasa!! Jiwe yuko wapi??

Jiwe alijifanya Mgumu! akaingia kichwa kichwa (lkn nilimuonya) kutaka kufumua Upya misingi ya CCM iliyo sukwa na CCM asilia jamani yuko wapi???..CCM ndo Mama wa Uhai wa SADACC! EAC, hakuna wa kumpinga! inajua kila kibaka maeneo haya!

Rais yeyote wa Maeneo haya ukitaka kuishi vizuri ukatubu Mwitongo na kamatia hawa watu Kikwete, T.Mbeki, Ramaphosa, Museven, Daniel toroitch Arap Moi, Kabila mdogo, Mnangagwa, hao ni kwa uchache!! wakujue uwajue! hawa ndo Rungu la jumuiya hizi!!

Ndo wana hirizi hawa!! mfano yule mchungaji Mmalawi aliyekataliwa na waumini wake S/Africa, alijua kuongea na hawa wazee huyo hapo karudi Malawi kiubweteee!! kwa ndege ya serikali...na Account zake anatumia km kawaida humohumo SADACC!

Mali zake zipo kimyaaa!!..... Zuma, Rais Chiluba, na ivi karibuni Magu! hawa!!..... wazee wa SADACC waliwapenda sana lkn wakaja kwa Mbwembwe!! na dharau miiingi!! hata kuwasema watangulizi wao vibaya kina Kaunda na juzi tu hapa Jakaya

ina maana hawa walikuwa kipindi cha mpito kuelekea uaminifu kamili lkn tukaona watakuwa Mwiba!! wa jumuiya yetu tukuka!!! kifupi weupe kichwani!! wakawaonyesha kuwa wao ndo Front line state ya zamani!....

hata mfanyeje mtaondoka nyie lkn siyo hizi jumuiya!.....Mazungu ya leo yanavua chupi kwa jumuiya hizi!......ziheshimu, uzielewe, uziishi vyema.....ili uishi kwa amani! km Mkuu wa nchi vinginevyo unakaanga Mawe!

Huyu dogo Mbowe analijua hili na wanamjua fika hawa watu!!! Mbowe ana Investments kubwa kwenye baadhi ya nchi jumuia hizi zooote!! na ndo mfadhili mojawapo mkubwa wa Makao makuu ya AU, SADACC!! sasa ebu nambie atakuwa mpinzani wa kweli huyu??

Hata leo Mbowe mkimfilisi mali zake zooote!!.....atapeta tu! tena zaidi kuliko ilivyokuwa mwanzo ...Makapuku mna shanGilia kijinga tu!! ...Jiwe lilikuwa na fununu tu!! sababu lilikuwa kwenye Matazamio!! ya kuwa Mzee kamili wa SADACC! lkn jeuri za kishamba!
 
Unaonaaaa?? Mr Mbowe!!! Mheshimiwa hata akili nzuri za hoja huna!!...kubali !! tunakujua....na ukweli unachoma paaaa!!...genhe l wasiojulikana ni watu!....... Na kafir km hujui ni mtu mweusi km weye!
Basi ujinga wako utakufanya kama mwendazake aliyejidai kuwa Tanzania ni nchi yake wakati Tanzania ina wenyewe akina Mbowe.
 
Basi ujinga wako utakufanya kama mwendazake aliyejidai kuwa Tanzania ni nchi yake wakati Tanzania ina wenyewe akina Mbowe.
Thubutuuuu!! jaribu uone moto wa Gas!!.... ndo utajua kuwa hujui!! mie siyo mjinga wewe ndo mjinga!
 
G
 
Basi ujinga wako utakufanya kama mwendazake aliyejidai kuwa Tanzania ni nchi yake wakati Tanzania ina wenyewe akina Mbowe.
Lkn Moshi aliwapelekesha!!!! heee!! hamta m sahau kwa Muziki ule!! Mlitoa hela wenyeweeee!!...naakawambika na kesi juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…