Mfumo dume, chuki wivu na udini ni baadhi ya sababu kwa watu kueneza chuki dhidi ya utawala wa awamu ya sita

muleba boy

New Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
1
Reaction score
2
Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya,
Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka

Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi kushinda bila wizi ndiyo tabia yake

Ufisadi upo toka kipindi cha nyerere

Maisha magumu toka tumepata uhuru hatujawahi kuwa na afadhali

Kama ni mauaji siyo awamu ya sita pekee watu wasio na hatia kuuwawa ingawa safari hii inasemekana idadi imekuwa kubwa sana

Swali kwanini Rais Samia asemwe vibaya?kwani haya mambo ni mageni hapa nchini?

Binafsi naona ni mfume dude,chuki,wivu na udini ndiyo chanzo ya yote
 
Chuki ya nini wivu kivip? Udini ,kwani yeye ndio kiongozi wa kwanza kuwa wa dini hiyo?

Mfumo dume? Watu walitegemea kwa sababu yeye ni mama atakua na huruma na kufanya vyema kuliko walio mtangulia.
 
WATANZANIA NI WATU WAOVU SANA . HII IMEANZIA KWENYE MFUMO WA JAMII NA FAMILIA TUNAZOTOKA. WATANZANIA NI WATU WASIO NA SHUKRANI , WATANZANIA NI WATU WATAONGELEA MEMA YA MTU PAKA PALE AFARIKI , WATANZANIA HAWAJAWAHI KUPENDA VIONGOZI WAO. HAO NDIO WATANZANIA AKA WAZEE WA LAWAMA
 
Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya,
Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka

Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi kushinda bila wizi ndiyo tabia yake

Ufisadi upo toka kipindi cha nyerere

Maisha magumu toka tumepata uhuru hatujawahi kuwa na afadhali

Kama ni mauaji siyo awamu ya sita pekee watu wasio na hatia kuuwawa ingawa safari hii inasemekana idadi imekuwa kubwa sana

Swali kwanini Rais Samia asemwe vibaya?kwani haya mambo ni mageni hapa nchini?

Binafsi naona ni mfume dude,chuki,wivu na udini ndiyo chanzo ya yote
"Signs of the time" has changed also tujifunze kuzitambua na kucheza nazo

Avoid taking things for granted
 
Watu sasa wakati wake ndio wameamua kusema basi inatosha na huwezi kuhoji maamuzi ya raia kwa sababu hii nchi ni jamuhuri inayopambana kuwa ya kidemokrasia.
 
Chuki ya nini wivu kivip? Udini ,kwani yeye ndio kiongozi wa kwanza kuwa wa dini hiyo?

Mfumo dume? Watu walitegemea kwa sababu yeye ni mama atakua na huruma na kufanya vyema kuliko walio mtangulia.
Ndio akili za wabongo. Kwa kuwa uovu umefanyika na viongozi wengi bhasi acha uendelee kufanyika

Ila wakikosa maji na umeme wanaanza kulaumu

Kikubwa sijashangaa alichokisema ila kujua muhaya wa muleba anayaongea haya. I'm sure, ancestors wake waliopambana hadi na Nyerere, wanalia huko makaburini
 
Na inawezekana ni lile ngumbaru Dr mapaka lipo kwenye I'd nyingine
 
Uwe na wivu au chuki dhidi ya zero 🧠, incompetent by design, ashukuru mungu kitendo cha kupumua hakihitaji akili wala maarifa vinginevyo tungekua tunaongea jambo lingine muda huu.

Alianza kujificha kwenye jinsia as if K ndio inaongoza nchi kaona hiyo haibambi sasa hivi kajificha kwenye u zanzibari na udini. Stupid skunk
 
1.utekaji usiokoma
2.mauaji ya kikatili- unafikili familia hizi zinaishi vipi?
3.ufisadi- wizi

Jina mama ni kitu kubwa sana , wangapi tumelelew na hawa single mother! Tumekuwa na sasa tumekuwa na mchango kwa jamii!

Mama bora :
1. Angependwa na watoto wake kwanza, wanae tu hawamwelewi
2. Watoto wa kambo wangekuwa na amani- wanaishi kama digidigi

SASHA -MUUAJI HATUMTAKI
 
Siku hizi nikiona comment ya kipuuzi mwanzoni, huwa sisomi mwisho wake na ubaya wamejaa wengi.

Maxence anaona sawa ila jf inaharibika taratibu
Wala Sio wengi ni wachache mno sema wana I'd zaidi ya moja , just imagine Dr mapaka ana I'd 43 peke yake🤔
 
Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya,
Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka

Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi kushinda bila wizi ndiyo tabia yake

Ufisadi upo toka kipindi cha nyerere

Maisha magumu toka tumepata uhuru hatujawahi kuwa na afadhali

Kama ni mauaji siyo awamu ya sita pekee watu wasio na hatia kuuwawa ingawa safari hii inasemekana idadi imekuwa kubwa sana

Swali kwanini Rais Samia asemwe vibaya?kwani haya mambo ni mageni hapa nchini?

Binafsi naona ni mfume dude,chuki,wivu na udini ndiyo chanzo ya yote
Ukiingia kwenye uongozi kwa kukumbatia maovu yaliopita bila kutaka kujitofautisha nayo. Hakukufanyi kuwa halali.

Kama unasema mabaya yalikuwepo toka awamu ya kwanza. Basi tunataka kiongozi wa kuyakomesha siyo kuyazidisha. Unapoamuru wananchi wako wapigwe risasi kwa maelfu. Siyo sifa nzuri ya kuendelea kuepo ofisini. Badala yake ni kuwajibika
 
Kwamba hata huko nyuma wapo maraisi waliowahi kuua watanganyika zaidi ya elfu kumi kwa siku tatu hili wabaki madarakani? Kabisa unasema hakuna alichokifanya ambacho huko nyuma hakijawahi kufanyika?
 
Attachments

  • downloadfile-132.jpg
    downloadfile-132.jpg
    192.3 KB · Views: 31
Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya,
Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka

Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi kushinda bila wizi ndiyo tabia yake

Ufisadi upo toka kipindi cha nyerere

Maisha magumu toka tumepata uhuru hatujawahi kuwa na afadhali

Kama ni mauaji siyo awamu ya sita pekee watu wasio na hatia kuuwawa ingawa safari hii inasemekana idadi imekuwa kubwa sana

Swali kwanini Rais Samia asemwe vibaya?kwani haya mambo ni mageni hapa nchini?

Binafsi naona ni mfume dude,chuki,wivu na udini ndiyo chanzo ya yote
Wewe ukimsema vizuri inatosha. Usiwapangie wengine
 
Back
Top Bottom