nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Habari zenu, naomba kujulishwa ni mfumo gani wa mauzo ambao ni mzuri kutumia kwa dukani?
Gharama iwe rafiki, mwepesi kutumia, huduma ya wateja inapatikana pindi kunapotokea tatizo, je mfumo unaweza kutumiwa bila kifurushi "offline"