comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Vipi YAPO fresh?Sawa
Zuri Sana Ila Linakaa M*v****Vipi YAPO fresh?
SijakuelewaZuri Sana Ila Linakaa M*v****
Wakiingia inakuajeUsije ruhusu mende waingie humo
Ukiruhusu inatokea nini?Usije ruhusu mende waingie humo
Anamaanisha hata la tofali sawa tu maana hata ugharamike sana au liwe zuri kinachokaa humo ni maviSijakuelewa
Haya si wanapanga tuu tofali hawajengi na cementHakuna tofauti tu na ya zamani
Ubora muhimuAnamaanisha hata la tofali sawa tu maana hata ugharamike sana au liwe zuri kinachokaa humo ni mavi
La mfumo WA shimo moja au mawilNinalo tangia mwaka 2018. Mpaka sasa hakuna tatizo.