Mfumo huu wa utengenezaji wa shimo la choo una changamoto/faida gani?

Mfumo huu wa utengenezaji wa shimo la choo una changamoto/faida gani?

Mimi nilijenga yale ya kupanga mawe naona ni yale yale sehemu yenye mawe mengi wanatumia hayo ambako akuna ndo wanafyatua hivyo vitofali
 
Nani kwaeka mfumo huu wanasema WA kisasa WA shimo la Choo? Nimeona gharama NI nzuri sio kubwa kulinganisha na kuchimba lile la kizamani la kujenga na vipande vya tofali.

Je mfumo huu mpya Una changamoto zipi ? Kwa ambao mnatumia mashimo ya aina hiiView attachment 3170417View attachment 3170418View attachment 3170419View attachment 3170420View attachment 3170421
Mzuri isipokuwa unahitaji tofari ngumu, hizo tafari ni za kujengea ukuta isipokuwa hapo zimelazwa, zikisimamiswa kwa ukuta ni nzuri sana kawani zinapunguza joto ndani ya chumba ila kwa karo zinaruhusu kiwango kikubwa cha maji kunywea kwenye kwenye ardhi kwa sababu zina matundu katikati.
 
Nani kwaeka mfumo huu wanasema WA kisasa WA shimo la Choo? Nimeona gharama NI nzuri sio kubwa kulinganisha na kuchimba lile la kizamani la kujenga na vipande vya tofali.

Je mfumo huu mpya Una changamoto zipi ? Kwa ambao mnatumia mashimo ya aina hiiView attachment 3170417View attachment 3170418View attachment 3170419View attachment 3170420View attachment 3170421
Hilo linafaa sehemu yenye ardhi au udongo mgumu. Kama ni kichanga bas Kuna hatari ya michanga kuingia ndani likawa linajaa haraka.
 
Back
Top Bottom