Mfumo huu wa utengenezaji wa shimo la choo una changamoto/faida gani?

Mimi nilijenga yale ya kupanga mawe naona ni yale yale sehemu yenye mawe mengi wanatumia hayo ambako akuna ndo wanafyatua hivyo vitofali
 
Mzuri isipokuwa unahitaji tofari ngumu, hizo tafari ni za kujengea ukuta isipokuwa hapo zimelazwa, zikisimamiswa kwa ukuta ni nzuri sana kawani zinapunguza joto ndani ya chumba ila kwa karo zinaruhusu kiwango kikubwa cha maji kunywea kwenye kwenye ardhi kwa sababu zina matundu katikati.
 
Hilo linafaa sehemu yenye ardhi au udongo mgumu. Kama ni kichanga bas Kuna hatari ya michanga kuingia ndani likawa linajaa haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…