mwanga Charles
New Member
- Nov 13, 2023
- 4
- 4
CHANGAMOTO.
1: Ukosefu wa taarifa za mngonjwa pale anapona tibiwa hospital mbili tofauti kwa wakati tofauti.
2: Kutokea kwa makosa ya kimatibabu kutokana na ukosefu wa taarifa za mngonjwa.
3: Kupelekea madaktari kuanza huduma upya pale wanapokosa taarifa za mngonjwa.
4: Kupelekea mngonjwa kutibiwa mara kwa mara na kutumia dawa nyingi pale anapona badili hospital na kutibiwa magonjwa tofauti tofauti.
SULUHISHO LA CHANGAMOTO
1. KUANZISHA MFUMO JUMISHI WAKIELETRONIKI(TEHAMA).
Napendekeza serikali mtandao ikishirikiana na wizara ya afya kuanzisha MFUMO utakao unganisha mifumo yote ya hospital zote NCHINI na kuwa na mfumo utakao kuwa na taarifa za mngonjwa za matibabu yake Kila hospital
2: KUZIELEKEZA HOSPITALI ZOTE NCHINI KUMRUHUSU MNGONJWA KUWA NA ACCOUNT ITAKAYO KUWA NA TAARIFA ZAKE.
Hii itasaidia mngonjwa kutoa taarifa zake pale anapona hama hospitali kama zitahitajika.
FAIDA YA MFUMO HUO
1: Kutafuta matatizo ya kiafya na kurahisisha utowaji huduma pale mngonjwa anapona hama hospital
HITIMISHO
Kuanzisha MFUMO JUMISHI na kuelekeza hospital kuwa na account zinazo wahusisha wagonjwa kuona taarifa zake inaipeleka Tanzania ya kidigitali.
Asante

Upvote
4