Ivan Suleiman nyandu
New Member
- Sep 5, 2022
- 1
- 0
Elimu ni jumla ya mambo yote ya kuhusu ujuzi,stadi,maarifa na muelekeo katika jamii.katika nchi yetu ya Tanzania tunaona kuwa Mfumo wetu wa uendeshaji umekaa vibaya,kuna baadhi ya mambo mengi ambayo hupelekea hichi chanzo.
(1)Chanzo ni Nini mpak tunaona Mfumo wetu wa elimu ni mbaya?
(i) Ukosefu wa walimu, hii ni mojawapo ya Chanzo ambacho hupelekea Sana mfumo wetu kuwa mbaya kutokana Kama kutakuwa na Ukosefu wa walimu wa kutosha mashuleni,kutafanya kuwa baadhi ya wanafunzi kuacha shule na kuamua kukaa nyumban na wazaz hivyo hufanya ndoto nyngi za wanafunzi kufikia ukingoni na hivyo ,kuweza kupata mimba za utotoni na ongezeko la watoto wa mitaani.
(ii) Kukosesakana kwa wahamasishaji juu ya elimu,iwapo serikali Kama ingekua na watu ambao Wanapita katika jamii na kufanya uhamasishaji juu ya elimu, watoto wengi wa mitaani wangekua wanasoma na wangeweza kufikia malengo yao ,kwa kuwa jamii itakua imehamasishwa juu ya umuhimu wa elimu watoto wao waweze kuwashawish na kusikia faraja juu ya elimu shuleni.
(iii) Ubovu wa miundombinu ,miundombinu ya shuleni Jambo la msingi Sana kutokana iwapo wanafunzi watakua wanapata Sana changamoto juu ya miundombinu ya shuleni wataona kuwa Kama shuleni no mateso mfano mpk Sasa kuna baadhi ya shule wanafunz bado wanakaa chini ,ubao wa kufundshia hakuna ,vyoo hakuna hivyo Basi changamoto Kama hizi hupelekea mwnafunz kushindwa kuhimili mateso yote haya na huacha shule na hivyo Basi malengo yake nayo yanakufa.
(2)Nini kifanyike ili kuwa na mfumo mzuri wa uendeshaji wa elimu.
(i) Kuboresha miundombinu ya shuleni,hivyo Basi iwapo kama elimu itatolewa katika miundombinu Basi kutakuwa na mwendo mzur Sana juu ya wanafunzi ambao watakua shuleni wanasoma kutokana kutakuwa hakuna changamoto ambayo itakua inawafanya wao wasiweze kufikia malengo yao.
(ii)Ongezeko la walimu,hii pia itasaidia kuweza kukuza mfumo was uendeshaji wa elimu wa Tanzania ,iwapo kama shuleni kutakuwa na walimu wa kutosha ,hakutakuwa na changamoto ambazo zitafanya washindwe kuwepo mashuleni.
(iii) Kuongeza wahamasishaji,pia iwapo kama wahamasishaji wataongezwa katika hili swala la kukuza elimu tutaweza kupata wasomi wengi Sana ambao watakua Sana nchi yetu na watasaidia Sana katika jamii mbalimbali ambazo huwa hazina Imani juu ya elimu na kufanya waweze kuamini kwamba elimu ni kila kitu ambacho kitamjenga mtoto kufikia ndoto nzake,kwa maana atakua amepata ujuzi wa kutosha.
Ahsanteni

Upvote
0