Habarini wadau,
Kwa wahusika ningependa ielekeze tangazo maalum la usomaji wa saa kwa wananchi wa Tamzania,
Mpaka sasa tuna mifumo mitatu ya uandikaji wa muda kuna :
1. 24hrs
2. 12hrs
3. Asubuhi/ Usiku
ratiba za treni za SGR zimeandikwa kwa kufata muda wa asubuhi/ usiku
Mfano 2:30 usiku hapa inatokea mchanganyiko kwa baadhi yetu kufahamu kua ni usiku wa manane, usiku wa saa mbili.
Kwa taasisi husika napendekeza uweko wa “format moja” ya kusoma muda,
Ikiwa kwenye mfumo wa 24hrs itapendeza zaidi
Namba 2 ndio imezoeleka hapa bongoHabarini wadau,
Kwa wahusika ningependa ielekeze tangazo maalum la usomaji wa saa kwa wananchi wa Tamzania,
Mpaka sasa tuna mifumo mitatu ya uandikaji wa muda kuna :
1. 24hrs
2. 12hrs
3. Asubuhi/ Usiku
ratiba za treni za SGR zimeandikwa kwa kufata muda wa asubuhi/ usiku
Mfano 2:30 usiku hapa inatokea mchanganyiko kwa baadhi yetu kufahamu kua ni usiku wa manane, usiku wa saa mbili.
Kwa taasisi husika napendekeza uweko wa “format moja” ya kusoma muda,
Ikiwa kwenye mfumo wa 24hrs itapendeza zaidi
Wacha tu nicheke🤣🤣🤣🤣😆🤣😂😂 sina nenoUkiangalia hii ratiba watu wengi wataachwa na huu usafiri wa treni
View attachment 3045683
Naomba urekebishe siyo usiku wa manane ni usiku wa Manani yaani usiku wa MunguHabarini wadau,