KERO Mfumo mpya wa kurenew leseni ya udereva TRA ni sumbufu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mfumo kama network iko chini hapo hakuna ujanja, naipongeza serikali kwa kuboresha pande hiyo unapewa ctrl no. leo unaambiwa kesho au keshokutwa njoo uchukue leseni yako Hongera sana TRA na serikali kwa ujumla, na NIDA wangekuwa hivyo wala TRUMP asingeangaika na wahamiaji haramu.
 
Mfumo mzuri ufanisi zero
 
Mkuu hebu jiongeze tafuta officer yoyote hapo mpe 50k uone kama bado system itakua down
 
Mkuu hebu jiongeze tafuta officer yoyote hapo mpe 50k uone kama bado system itakua down
Sio vitu vya kuendekeza mfumo uwe rafiki kwa watu wote mimi naweza kutoa je watu wengine? Huko wilayani?
 
Kuna tatizo la EFD verification code kwa wale tuliosoma zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…