Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hamkuwa mmejipanga bora mngeacha kwanza
Siku 3 server ipo chini
Siku 2 mtu hawezi kupokea OTP
Mmeleta kero sana
Yaani hata ARDHI wana App yao ukitaka kujiunga inakuletea OTP ukirudi kuingiza OTP inakuanzish as upya hatua za mwanzo za usajili
Mfumo mzuri ufanisi zeroMfumo kama network iko chini hapo hakuna ujanja, naipongeza serikali kwa kuboresha pande hiyo unapewa ctrl no. leo unaambiwa kesho au keshokutwa njoo uchukue leseni yako Hongera sana TRA na serikali kwa ujumla, na NIDA wangekuwa hivyo wala TRUMP asingeangaika na wahamiaji haramu.