Kiongozi, si kila namba ni namba ya siri.... BY THE WAY, KUNA WAKATI KAMA KITU HUKIJUI NI BORA UKAULIZA... kuuliza si ujinga...!!! UNAVYOZIDI KUKIELEZEA KITU USICHOKIJUA, NDIVYO UNAVYOZIDI KUONYESHA KWA KIASI GANI HUKIJUI
Hiyo namba kwenye laini inaitwa ICCID Number
It stands for Integrated Circuit Card ID, a 19- or 20-digit number that’s typically printed on the back of a SIM card. The ICCID is a globally unique serial number—a one-of-a-kind signature that identifies the SIM card itself.
we jamaa kuna vitu unachanganya hapa!
labda unafikiria hio Password ndo ya MPESA AU HALOPESA.
hio ni password ya line peke ake, hata kama mtu akiwa na hio password hatoweza kufanya muamala wowote maana password ya mpesa sio hio ilioandikwa apo
Usicho jua mimi nimeexprience.
Yaani hiyo ndo number ya siri ya laini.
Labda waleta option ya kubadili...
Hio namba sio ya miamala ni ya kufungua access ya kutumia simcardYaani laini imeandikwa namba za siri.
Hivyo ukiidondosha mtu anafanya miamala
option ya kubadili ipo mkuu, me natumia halotel na nilishabadili password natumia password yangu.
Kitu ambacho hakiwezekani ni kuondoa password isiwepo, hapo haiwezekani
option ya kubadili ipo mkuu, me natumia halotel na nilishabadili password natumia password yangu.
Kitu ambacho hakiwezekani ni kuondoa password isiwepo, hapo haiwezekani
Hivyo mfumo huo si salama.
Hapo mtu asipo badili namba za siri ni hatari
Lakini mkuu mtu akichukua laini yako kabla hujabadili namba ya siri ni hatariKwa usalama wa raia na mali zao mimi naona ni utaratibu mzuri.
Utaratibu huu utazuia matukio mengi ya kiuharifu ikiwamo ya kuiba laini ya simu ya mtu na kuitumia kutekeleza matukio ya wizi.
Asante kwa ufafanuzi mzuri na Mimi nimekuelewaYes, kila line ina hiyo kitu ila ilikuwa ni choice yako kuweka on au off ila sasa inakuwa on mda wote na hakuna option ya ku disable. Yani hata ukizima simu ukiwasha ni lazima uweke PIN ndio uendelee kutumia.
Hizo zilizoandikwa kwenye line ni serial number, sio number za siri, na pia, unapoweka laini unatakiwa hapo hapo ubadilishe namba za siri na kuweka zako, hizo za kwenye kikasha ni za kuanzia tu..Itakuwa hujasoma vizuri.
Nimeeleza namba zimeandikwa kwenye kasha pamoja na laini yenyewe.
Hizo namba za siri ni za kuanzia tu, unatakiwa ukiiweka kwenye simu immediately ubadilishe na kutunga za kwako
Ukweli ni kwamba kwa mfumo huu wanataka kujua kila mwenye laini ya simu ni nani. Ile pin ya awali hata ukiingiza pin mpya bado kwenye system wanauwezo wa kujua changes ya original pin imeenda kwa fulani. Kinachonishangaza ni kwamba yaani utadhani usajili wa laini kwa vidole haujawasaidia....Usihofu....
Unapo sajili line kuna option ya kubadili namba za siri ambazo zipo tayari na kuweka namba unazohitaji wewe.
Yaani hata mimi nashangaa daily kusumbuanaUkweli ni kwamba kwa mfumo huu wanataka kujua kila mwenye laini ya simu ni nani. Ile pin ya awali hata ukiingiza pin mpya bado kwenye system wanauwezo wa kujua changes ya original pin imeenda kwa fulani. Kinachonishangaza ni kwamba yaani utadhani usajili wa laini kwa vidole haujawasaidia....