Baada ya TRA kubadili mfumo wa forodha umesababisha mizigo kuchelewa kutoka bandari na kupeleka gharama za kutoa mzigo kuongezeka. Mfano mzigo kutoka Zanzibar unachukua siku 5 kutoka bandarini kutokana na system kusumbua.
Naomba mamlaka kuondoa gharama za storage katiki hichi kipindi ambacho system inasumbua