KERO Mfumo mpya wa TRA kusumbua unaongeza gharama za mzigo kukaa bandarini

KERO Mfumo mpya wa TRA kusumbua unaongeza gharama za mzigo kukaa bandarini

  • Thread starter Thread starter Anonymous (8163)
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Baada ya TRA kubadili mfumo wa forodha umesababisha mizigo kuchelewa kutoka bandari na kupeleka gharama za kutoa mzigo kuongezeka. Mfano mzigo kutoka Zanzibar unachukua siku 5 kutoka bandarini kutokana na system kusumbua.

Naomba mamlaka kuondoa gharama za storage katiki hichi kipindi ambacho system inasumbua
 
Back
Top Bottom