sijaelewa ila kwa ufupi tu,mfumo ni utaratibu au mpangilio ikiwa upo kwenye taasisi mfumo ni zile policies,rule and regulation,code of ethics.. Hi hiivi dunia yote inajengwa na mifumo. Kuna ya wababe kama USA na CCM na vibaraka vyao kwa hapa kwetu. Mifumo badala ya kukusaidia wewe, imejengwa upige kelele ilhalii haki hako inapotea.