RAINEL LIHAWA
Member
- Apr 14, 2015
- 34
- 31
NOW NI MFUMO WA KUCHAKATA RATIBA YA VIPINDI AUTOMATICALLY
Huu Ni kwa level zote za elimu
[emoji3591]Chekechea
[emoji3591]Primary school
[emoji3591]O level
[emoji3591]A level
[emoji3591]Vyuo vyote vya Kati
[emoji3591]Vyuo vikuu.
Mfumo upo vizuri sana.
Na Ni automatically
[emoji3591]Mtaaluma anaandaa ratiba kwa Raha , kwa tabasamu Pana, kwani hakuna kukuna kichwa Tena.
[emoji3591]Kazi ya muandaaji Ni kuingiza
1. Madarasa au mikondo aliyonayo shuleni yote.
2. Masomo au Course zinazo/ yanayofundishwa shuleni au chuoni.
3. Majina ya walimu au lectures names yakiambatana na kidato/Course takers anayofundisha mwalimu kwa kipindi hicho.
Baada ya hizo kazi tatu hapo MFUmo unachakata wenyewe automatically vipindi bila kugonganisha hata sehemu moja.
Cha kipekeee zaidi MFUmo unakuwezesha muandaaji kuamua chochote
Mfano
Kusert vipindi vya Hesabu visijiingize mchana.
Mwalimu X kutokua na vipindi siku Fulani au muda fulani.
Kipindi Cha Dini au Debate kiingie sehemu unayoitaka tuu.
Chochote unachokitaka MFUmo unafanya.
Kumbuka pia mifumo ya matokeo ipo inatuma sms ya matokeo kwa mzazi bila kutumia internet
MAWASILIANO.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
0753538043
0622388166
Tazama [emoji116][emoji116][emoji116]sumarry mbalimbali ambazo MFUmo unazigenerate automatically na wewe utabaki kuprint tuuView attachment kilolo idadi ya vipindi.pdf