The lighter
Member
- May 1, 2024
- 7
- 6
Utangulizi
Takwimu za mapato yakuswanyayo na shirika husika (TRA) katika maeneo/shughuli mbalimbali, zimeonekana kupaa juu siku hadi siku na hii imechochewa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali katika kutoa elimu kwa wauzaji na wanunuzi wa bidhaa/huduma mbalimbali,,,,
Sambamba na hilo,uzinduzi wa mifumo rahisi ya tehama inayowawezesha shirika (TRA) na wafanya biashara kufatilia taarifa zao za kodi imechochea kwa kiwango kikubwa ukuswanywaji wa mapato nchini.
Licha ya nguvu hiyo kubwa ambayo serikali imewekeza kuhakikisha kodi zinakusanywa kwa uadilifu mkubwa,,baadhi ya watu/taasisi wamekuja na mbinu mpya za kukwepa zoezi hili la ulipaji kodi katika bidhaa/huduma wanazozitoa kwa jamii...
Kwanza,wamekuja na njia ya kuprint risiti fake zisizotambulika na shirika(TRA) na kwa kufanya hivi wanaikosesha nchi mapato yake.
Pili,wamekuja na mtindo mpya wa kutoa risit original zenye thamani isiyohalisi na bidhaa/huduma waliyoitoa na kuikosesha TRA mapato yake stahiki.
Ushauli/Mapendekezo.
1.Mabadiliko katika mfumo uliopo katika machine za kutolea risiti.
2.Ushirikishwaji wa moja kwa moja kati ya TRA na mteja(mpokea bidhaa/huduma)
Jambo hili litafanyika hivi ....
Mteja kabla ya kununua bidhaa ataingia katika menu ya TRA,,mfn *123# na ataweka TIN ya mfanya biashara na kiasi cha bidhaa/huduma anayoihitaji kisha atasend request TRA,,TRA watajibu kwa sms,,na kitoa code(neno la siri) ambalo pasipo hilo,,Mtoa huduma/bidhaa hatoweza print risiti katika mashine yake,,,
Mfumo huu utasaidia nini...
1:Utakomesha risit fake maana machine zote hazitaprinti risit bila neno la siri toka TRA kupitia kwa mteja,,,na litamatch na TIN ya mfanya biashara(unique code for a single TIN) hii ikimaanish neno hilo la siri halitatumika zaidi ya mara moja katika TIN zaidi ya moja
2.Mfumo utaziba mwanya wa mfanya biashara kujichagulia kiwango cha thaman ya bidhaa/huduma.
Mwisho
Mapato mengi yanapotea mikononi mwa watu wachache wasiojali masilahi ya nchi bali yao wenyewe,,kama tutaungana kwa pamoja na kuwa waaminifu basi tatizo hili litafika mwisho,,
Asante

Upvote
1