Mfumo wa ajira nchini umeshindikana, bila connection hutoboi!

Habari wakuu ? Natafuta kazi Nina certificate ya lab na Nina experience ya miaka 3 ya lab technician, Quality control na Quality assurance. Yeyote atakaye nipa connection nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12
 
Waandalia mazingira mapema kama ukiweza yaani anzisha hata mradi wa familia watakaoweza kuuendeleza.
Unaongelea solution ya individuals wachache na sio majority kitachohitajika mwisho wa siku ni vitu quality na sio quantity na dunia ya ushindani big fish eat smaller fish huwezi kuwa na utitiri wa vitu vilevile na wahitaji wachache alafu vyote vika-survive......

Just imagine ulikuwa na mradi wa bookshops na wewe kama publisher alafu ghafla along comes Amazon na Self Publishing ?

To be sustainable the world needs a complete overhaul bila hivyo soon or later kutakuwa na mapinduzi ya Kimfumo na Kiuchumi as what is currently available is not fit for purpose
 
Hii inawezekana vipi kuwa enforced ? Ni kipi kinakuzuia kukataa kumpa na ni mahakama ipi itakubaliana nae akikushitaki ukizingatia yeye sio Job agency an alichofanya ni magumashi ?
 
Hii inawezekana vipi kuwa enforced ? Ni kipi kinakuzuia kukataa kumpa na ni mahakama ipi itakubaliana nae akikushitaki ukizingaria yeye sio Job agency an alichofanya ni magumashi ?
mkuu unaoongea kweli, kwa nchi zetu za kimasikini hatuna hata viwanda vya uzalishaji wala hatujawekeza kwenye teknolojia ndio matokeo yake haya tunayopitia.
 
Mama Samia awape nguvu PSRS, ajira zote zipitie kwao
Japo walikuwa wanazingua ila angalau fair competition ilikuwa inaonekana, sijui nani akashauri taasisi ziajiri na kusimamia zenyewe mchakato wa ajira, bila connection ndefu huji kuajiriwa kwenye hizi taasisi.

Pole mkuu, tupo wengi
 
Tuombe na kuvumilia tu
 
Mfumo mpya wa usaili wa kidigital kama wewe kilaza na uko shallow kichwani nakushauri tafuta fani nyingine tu maana hakuna mpenyo wa connection ni brains zako tu kuingia serikalini
 
Mfumo mpya wa usaili wa kidigital kama wewe kilaza na uko shallow kichwani nakushauri tafuta fani nyingine tu maana hakuna mpenyo wa connection ni brains zako tu kuingia serikalini
Sijajua mfumo unaosemea ww ni upi ila kama ni hii niliyokutana nayo ya ku apply kwenye system kisha majina yaitwa mkafanye usahili wa face to face, huko ndio 'koneksheni' inapopata nafasi, nina mifano mingi tu maana sahili nyingi nilikwenda na watu ninao wafahamu kama classmates etc, and trust me kuna mauzauza sana huko.
Labda useme usahili ufanyike completely online from top to bottom
Ingawa sijawahi kukutana nao pia labda ule wa Vodacom ambao nilifanya almost 4 stages nikaishia njiani kwasababu za nje ya uwezo wangu.
 
Mawazo yako watu wanapita kazi bila connection yeyote Nina ushahidi. Ww usiijazw particular taesa au ajira portal mtasubiri sana
 
Mawazo yako watu wanapita kazi bila connection yeyote Nina ushahidi. Ww usiijazw particular taesa au ajira portal mtasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…