Mfumo wa ajira nchini umeshindikana, bila connection hutoboi!

Binafsi nakuelewa sana. Ila tafsir ya maisha wakat mwingine ni ngumu sana kuielewa. Any way tuishi na ndio maisha.

Kuna tuliobahatika japo kufanya kazi za mkataba Serikalin na tukafanya haswaaa kwa bidii sana. Ni ngumu kujisifia ila nilipewa sifa na watu kuwa utendaji wangu wenda ulizidi mara dufu ya Bosi wangu, na hizo sifa ni za Nje tuu, za ndani nilizijua mimi ikiwepo na kuongeza mapato ya ofsi mara dufu. Kiufupi kabla sijaja Mkoa haukuwahi kufikia lengo la Makusanyo ya mapato uliopewa kwa kipindi kirefu tu, Ila baada ya mimi kuanza kazi pale nilijaribu njia tofauti na zikalipa sana tuu, Sasa mkoa ulikuwa unaweza kufikia lengo na nyongeza ya robo au nusu ya kiwango tulichokuwa tumepangiwa.

My friends nilifanya kadri y uwezo wangu wote na ilinisaidia maana ilinijenga sana kiakili, Pamoja na kukosa ajira katika taasisi ile. Saiv nipo tuu Mtaani na najaribu kufanya kinachowezekana japo mambo ni magumu mnoo. Mwaka wa Sita Sasa toka nihitimu Shahada yangu ya kwanza ila Mwanga sioni kabisaa. Wazee kijijini huko kila siku kupiga simu na kuuliza vipi serikal imekukumbuka? Simply kuhusu ajira nishakata Tamaa
Duh familia ya mzee naniu tunakupa pole mkuu
 
Duh taasisi wangekua ajiri mkuu kwa uchapaji kazi wako.
 
Daah! Kiukweli inauma sana yani mtu unateseka miaka mtaani ajira hupati alafu wale madogo uliowaacha shule wamemaliza na ajira wamepata hadi wanakuonea huruma

Ni maumivu
Nadhani issue sio wao kupata wewe kukosa issue ni vipi kila mtu anaweza kupata ujira wa kutosha kusogeza maisha yake kwa kupata mahitaji yake yote muhimu....

CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia riziki yake. Nawaomba ardhi - hakuna ardhi; hamnipi ardhi, Mnasema "Ardhi hakuna". Naomba kazi ya kibarua basi, Nipeni basi ya kibarua, "Hamnipi kazi ya kibarua. Mimi niko tayari kabisa kufanya kazi au ya kulima au ya kibarua chochote nipeni. Hamnipi Chama Chetu kinasema MTANILISHA. Julius Kambarage Nyerere
 
Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa!

Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale wasahili walipwe kwa kupoteza muda wetu.

Viongozi wanakazia eti vijana mjiajiri wanasahau kama Kuji-ajiri pia kunataka Pesa tena muda mwingine ni pesa ndefu kuliko mshahara uliokuwa una vizia kwenye Ajira zao.

Nina rafiki zangu wamesomea Mambo ya tourism 😂 sasa sijui wafuge simba wao au wanunue land cruiser la Million 100 wabebe wazungu.

Mwingine kasomea shipping pale TPA temeke sasa yeye ajiajiri vipi wakati hao TPA wenyewe wameporwa kazi
Kibaya Zaidi niliwahi kuomba nafasi za mafunzo ya JKT ila nikakosa kwa sababu za hovyo sana ila kuna dogo alilazimishwa na dingi ake ila dogo hataki kabisa ni vile tu ana koneksheni zimempa hiyo nafasi ambayo sisi tumenyimwa kwa makusudi apewe dogo asiye itaka tena analalamika tangu kafika mpaka anaondoka, tena kuna muda alitaka kutoroka asiandikishwe ila karudishwa na kiongozi wa pale pale!

Wale walioenda kwenye usahili wa SENSA wanakumbuka balaa la pale na figisu za makusudi!

Wiki kadhaa hapa kulikuwa na usahili wa TAKUKURU. Kuna jamaa angu alifika usahili wa ORAL akaulizwa "Arusha kilitokoea nini juzi kati?" Khee, imagine maswali kama hayo mtu umempandisha basi umemsubirisha masaa!! Umempima vipimo, umemvua nguo alafu unamuuliza Arusha kimetokea nini majuzi kati? Au Tarehe ya kufa Lowasa? Khaaa!

Mi sio adui wa kujiajiri ila kuna vitu haviingii akili na vingine viko nje ya uwezo wetu

Mfano: Wengi tumesomeshwa either na wazazi na ndugu au na serikali (mikopo) ila tulio someshwa na ndugu na wazazi HUWEZI kuwaambia nipeni izo milioni 6 nikafungue biashara sitaki degree haina uhakika wa Ajira!! Mzazi gani au ndugu gani atakubali? Tunabaki kwenye kifungo icho mpaka tunakuja kuteseka mtaani!

Pia baadhi ya ajira za kujiajiri zinataka ukaze roho mfano washkaji uliosoma nao msingi wakafeli wakawa bodaboda au bajaji au car washer! Umewaacha karibu miaka kumi alafu unarud mtaani unamuomba 'deiwaka' aisee inataka moyo!

Mi nanyoa watu Saloon ila bosi wangu nilimuacha shule ya msingi jina lake halikuwa kwenye Listi ya form 1, mimi nina degree langu geto lina mhuri wa mwanasheria! Tuna pambana na Koneksheni huku tuna pambana na ndugu wenye wivu wanao nadhani degree ndio Pesa.

Huku tuna kaza sura kwa aibu tunazopata mitaani 2025 mgombea anasimama anasema MKINICHAGUA NAWAPA UBWABWA!
Ningekupa siri lakini basi mpaka Mungu atakapo amua.
 
CONNECTION.. CONNECTION.. CONNECTION..
Mwshoni mwa mwaka jana Uhamiaji walitoa nafasi za kujiunga na jeshi lao.. Nikatazama “Magamba” yngu nkasema kw sifa wanazotaka ni mara mbili ya “magamba” yngu, Basi nikaaply na km nlvyojizatiti kwl jina langu lkatokea kwny usaili.

Mm n Mkristo (Mtanganyika) niliehamia Zanzbar baada ya kumalza Chuo UDSM nikaja kujaribu bahati yngu kusaga maisha huku. Aisee ule usaili ulifanyika feb 16 mwka huu siji sahau nlyoyashuhudia. Kwnz Wakrsto tulkuwa 9 tu kati ya 586 walioitwa kwny usaili na kati ya hao hakuna aliepita wote tulipigwa chini.

Kwny usaili nilkuwa na jamaa muda wte anaitwa nje ya chumba na Afande mmoja nmekaa nae karbu, Ktk stry stry nkamuulza mbna jamaa wanakugombania sana ama n “mbanga” wko? Jamaa akanambia wamepewa maagizo na baba nisitege nifanye usaili ila mm stak haya masuala ya majeshi jeshi baba analazimisha na anasema UT sio jeshi kamili sitopata tabu sana.

Basi jamaa akawa mshkaj wngu tukabadlshana namba, kabla ya majina kutoka akawa ananipa taarfa zote na zote za ukwl. Kuanzia sku ya majina kutoka mpk idadi ya watu watakaoitwa. Jamaa akachaguliwa kujiunga na UT na hana sifa yyte nkaachwa mm mwnye degree ya IT, cheti cha Udereva class E, Cheti cha Muziki,Cheti cha JKT 3yrs OP Mererani,Cheti cha Uwaziri wa michezo Chuoni,Cheti cha Takukuru na Un nkiwa sekondari, na vyeti vya uongozi Head Boy O level na Advance

CONNECTION CONNECTION CONNECTION
 
Nyie siku ukipata Kazi mnaanza kusumbua wafu ofisini... Nina ushahidi mkubwa wa vijana wa namna hii wanaokalia mtandaoni siku ukiwapa nafasi wanaanza kusumbua na kusahau walipotoka
 
usisahau bahati pia maana najua weng t wapeta serikalin na hawakuw na connection na wamemaliza 2022
 
Mtoto wa mjomba mlete, mtoto wa Shangazi mlete 😂😂😂🤣. CCM hoyeee
 
Ulimwengu hauko sawa, chukulia mfano mko watu 200 kwenye chumba kimoja chenye mlango mmoja, ghafla moto ukawaka mle ndani, Je utatumia mbinu gani kutoka pale mlangoni bila kupata madhara?
Hizo ni hadithi za wanaonufaika na status quo wanalisha majority ili waendelee kutumika / kula makombo bila kulalamika..., ndio maana enzi zile za inefficiency watu waliaminishwa kwamba kuna mabwana na watwana kuna watu wanazaliwa kutawala na wengine kutawaliwa resources zilikuwa chache hence wengi wafanye kazi ili wachache wafaidi (enzi za utumwa) na nguvu kazi ilitakiwa zaidi...

Dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia na automation ni vice versa nguvu kazi haitakiwi tena kama zamani kwahio inabidi uwepo mfumo wa kufanya keki ya dunia angalau watu wapate basic needs (gap of classes ya have and have-nots ni threat to society as a whole) and the way things are Capitalism as we know it can not survive this automation.... (A few can not own means of production if the production does not provide employment) i.e. the trickle down effect advantage wont be there anymore...
 
CONNECTION.. CONNECTION.. CONNECTION..
Mwshoni mwa mwaka jana Uhamiaji walitoa nafasi za kujiunga na jeshi lao.. Nikatazama “Magamba” yngu nkasema kw sifa wanazotaka ni mara mbili ya “magamba” yngu, Basi nikaaply na km nlvyojizatiti kwl jina langu lkatokea kwny usaili.

Mm n Mkristo (Mtanganyika) niliehamia Zanzbar baada ya kumalza Chuo UDSM nikaja kujaribu bahati yngu kusaga maisha huku. Aisee ule usaili ulifanyika feb 16 mwka huu siji sahau nlyoyashuhudia. Kwnz Wakrsto tulkuwa 9 tu kati ya 586 walioitwa kwny usaili na kati ya hao hakuna aliepita wote tulipigwa chini.

Kwny usaili nilkuwa na jamaa muda wte anaitwa nje ya chumba na Afande mmoja nmekaa nae karbu, Ktk stry stry nkamuulza mbna jamaa wanakugombania sana ama n “mbanga” wko? Jamaa akanambia wamepewa maagizo na baba nisitege nifanye usaili ila mm stak haya masuala ya majeshi jeshi baba analazimisha na anasema UT sio jeshi kamili sitopata tabu sana.

Basi jamaa akawa mshkaj wngu tukabadlshana namba, kabla ya majina kutoka akawa ananipa taarfa zote na zote za ukwl. Kuanzia sku ya majina kutoka mpk idadi ya watu watakaoitwa. Jamaa akachaguliwa kujiunga na UT na hana sifa yyte nkaachwa mm mwnye degree ya IT, cheti cha Udereva class E, Cheti cha Muziki,Cheti cha JKT 3yrs OP Mererani,Cheti cha Uwaziri wa michezo Chuoni,Cheti cha Takukuru na Un nkiwa sekondari, na vyeti vya uongozi Head Boy O level na Advance

CONNECTION CONNECTION CONNECTION

Pole Sana mkuu utapata kazi endelea kuomba kwa imani then Mbanga ukiipata Anza na Mungu then Mbanga.
 
Back
Top Bottom