A
Anonymous
Guest
Salamu wandugu wa hili taifa takatifu ardhi ya mwl
Huu mfumo wa kuomba ajira ambao upo chini wizara ya utumishi secretariat ya ajira
Ajira portal
Huu ni mfumo ambao umejaa ukandamizi mkubwa na wa wazi wazi hii inapelekea vijana wengi kukosa fursa za kuomba ajira ambazo zimekuwa zikitangazwa kupitia ajira portal.
Kero ya kwanza mfumo kutoruhusu kurekebisha taarifa pale unapokuwa umejaza kimakosa ikisave imesave haikupi chance ya kubadili taarifa au nyaraka unazokuwa umeambatanisha mfano vyeti vya kitaaluma
Kero ya pili
Namba za simu zimekuwa mapambo tu, ni simu ambazo hata ukeshe ukipiga huwa hazipokewi na mara nyingi pia zinakuwa zimezimwa ambapo tunaamini ziliwekwa kwa ajili ya kutatua changamoto ambazo wao kama wataalamu wangeweza kutatua tofauti na mifumo mingine mingi ya kiserikal inavyofanya kazi kwa ufanisi
Mfano police ajira portal iko vizur sana
Na nyinginezo nyingi
Ombi langu
Tunaomba serikali kupitia wizara husika
Walitizame hili kwani wanaoteseka ni vijana wa kitanzania ambao wanatokea maisha ya kawaida sana na hawana. Watu juu wa kuwasaidia
Tunaamini vijana wao kadhia hii haiwakuti maana wanapewa vimemo wanapoenda ofis za utumishi
Kuajiliwa ni haki ya kila mtanzania mwenye sifa
Wekeni mfuno ambao ni rafiki muache uonevu kisa mmeshiba ninyi na watoto wenu
Vijana wetu wanahangaika sana
Kero hii imekuwa ya juda mrefu sana