Mfumo wa ajira umekuwa ni wa unyanyasaji na uzalilishaji

Mfumo wa ajira umekuwa ni wa unyanyasaji na uzalilishaji

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Ni haki ya kila Raia kufanya kazi mahala popote nchini ikiwa atakuwa ni mwenye kutimiza vigezo na masharti ya nafasi atakayoiomba, ila kwa sasa imekuwa ni tofauti sana katika hizi taasisi zinazotoa huduma hii ya kuajiri mfano mdogo jeshi la polisi wenyewe wanatambua kuwa Kwa post walizotoa kuna muitikio mkubwa wa watu wanataka kujitolea kuhudumia jeshi lao lakini kwa manyanyaso yao, wametengeneza mfumo ambapo server yao ni ndogo kulipo tarrif ya waombaji.

Kwani wameshindwa nini kutumia mfumo wa makaratasi hata kama ni mfumo ambao unaleta mkanganyiko mkubwa katika uchukuliwaji/uchaguaji wa watahiniwa?

Watu wanahangaika na bahasha za kaki as if hiyo kazi inatoka kwenye ofisi PSFF au NHIF.

Siku tano hazitoshi na mfumo wenu mbovu.
 
Back
Top Bottom