Niende mojakwamoja kwenye kichwa cha habari. Mfumo wa Brela Ors imekuwa changamoto kubwa sana kwa watumiaji.
Nimejaribu kuifungua toka alhamisi tarehe 19 desemba 2024 haipatikani mpaka leo. Watu wa IT Brela wamekuwa slow sana kuishughulikia tatizo hili.
Je, tutafika kweli kama mfumo huu haupatikani na ikiwa mfumo mwingine wa seriknli unategemea kusoma mfumo wa Brela ili kuendelea na shughuli zake si zitakwama? Wahusika tafadhali shughulikieni hili kwa haraka sana.
Pia soma: BRELA kufanya maboresho ya Mfumo wa Usajili kwa njia ya Mtandao (ORS) Disemba 20 mpaka 23, 2024