Tanzania tuitakayo:
Kumekuwa na changamoto kubwa ya vijana walio maliza chuo kukosa ajira , hii inapelekea vijana kuwa tegemezi katika familia zao. Chanzo ya vijana kukosa ajira ni mfumo mbovu wa elimu ambaye inamwandaa mwanafunzi kuja kuajiriwa na sio kujiajiri!
Tunahitaji Tanzania ya vijana kuweza kujiajiri.
NINI KIFANYIKE ILI VIJANA WAJIAJIRI?
Kwanza lazima tuitazame mfumo mzima wa elimu elimu yetu inamwandaa mwanafunzi kuajiriwa hii ni hatari na inadhoofisha maendeleo ya wasomi wengi.
MAPENDEKEZO
1. Baada ya mwanafunzi kumaliza kidato cha nne kuwe na sheria inayomlazimu aendee veta ( vyuo vya ufundi ) ili apate ujuzi ambaye itamsaidia kuweza kujiajiri.
2. Miaka ya elimu rasmi (primary, secondary schools zipunguzwe) kwani wanafunzi wengi wanatumia mda mwingi mashuleni mtoto / mwanafunzi anatumia miaka 13 kusoma elimu rasmi yaan kuanzia darasa la 1 hadi form 6 ,kuwepo na maboresho kwamba atumie miaka 10 tu katika elimu rasmi ya shule ya msingi pamoja na shule ya upili hadi advance level.
3. baadhi ya topic/ maada zilizopita na muda zifutwe kwenye mfumo wa ufundishaji ili kuipa nafasi masomo yanayoendana na wakati huu wa sasa kwa maendeleo endelevu ikiwa ni pamoja na kuingizwa somo la ujasiria mali katika muhtasa wa ufundishaji kuanzia elimu ya upili na kuendelea.
4. Serikali iwekeze zaidi katika vyuo vya ufundi na ujasiri mali hii itasaidia katika kukuza viwanda pamoja maisha ya watu/jamii kujiajiri.
MAONO YANGU
Katika miaka mitano ijayo Tanzania itakuwa na wasomi wengi wa elimu wa vyuo vya kati pamoja na vyuo vikuu ambao hawajaajiriwa kama mfumo wa elimu rasmi utaendela kushika kasi.
CHANGAMOTO KATIKA KUTEKELEZA WAZO LANGU
inawezekana kuwa hili swala la kuwa na sheria rasmi kuwa kila baada ya mtihani wa kidato cha nne lazima hao watahiniwa wapitie veta/vyuo vya ufundi italeta ugumu lakini utazoeleka na kuleta matokeo chanya kwa vijana wengi maana, Veta pamoja na vyuo vya ufundi lazima wawe wabunifu katika kuongeza idadi ya fani ambayo ni tija kwa dunia/Tanzania ya sasa na endelevu.

Upvote
0