Mfumo wa elimu na uzalishaji wa watu tegemezi

Mfumo wa elimu na uzalishaji wa watu tegemezi

Joined
Jul 23, 2026
Posts
22
Reaction score
19
Kwa vizazi vingi tumeambiwa: “Soma kwa bidii, utapata kazi nzuri.”
Lakini maelfu ya wahitimu wenye alama A wanazunguka mitaani, wanaogopa kuanza biashara, na wanategemea mwajiri au serikali.
Ulishawai jiuliza ni kwanini?

Kwasababu
mfumo wa elimu wa kisasa haukuundwa kukuza uhuru wa kifikra. Uliundwa kuzalisha watu watiifu wa viwanda wanaofika kwa wakati, wanaofuata maagizo, na wasiohoji.

Kitabu hiki cha MFUMO WA ELIMU NA UZALISHAJI WA WATU TEGEMEZI kinachimbua mizizi hii, kinaonesha jinsi hofu ya makosa, utii, na jibu sahihi vinavyojengwa shuleni, na kinakupa ruhusa ya kufikiri upya.
Si kitabu cha kukata tamaa. Ni mwaliko wa kuamka, kuhoji, na kujenga maisha yako mwenyewe. Karibu kwenye mwanzo mpya karibu kwenye kujua ufahamu uliofichwa ndani ya mfumo wetu wa elimu.
file_000000008a287246b29418831a912c7f.png
 
Back
Top Bottom