Mfumo wa elimu Tanzania wafumuliwa.

Ni kama shule za kata zilivyopingwa,siku hizi zinatoa one na two kibao
Taratibu tutafika,tafuta watu wa computer science,it fundisha ualimu miezi sita sukuma kafundishe watoto coding
ukimchukua huyo wa one ya tanzania ukamuweka darasa moja na mwenye one ya uganda au kenya,wa Tanzania ataonekana ni kituko
 
Jambo jema!
 
Wakati huu shule zina waalimu mpaka wawili walimu haswa msingi hata sec wanafundisha masomo sita hata zaidi..

Je hizi ngonjera zote wana mpango gani kuongeza idadi ya waalimu?

Bila kujali sana ikiwa wamefunzwa mambo ya kisasa maana mtu akifaulu ualimu ameiva katika kumshape mwanafunzi ndio maana kuna wakati walimu wa sec walishushwa wakapelekwa kufundisha msingi.

Ila wakifanya siasa wakaacha kuongeza nguvu kazi wakati gari linanock engine itakuwa yaleyale ya akina Mungai na Mama Sitta...ℹ️🥱
 
Elimu ya zamani ilikuwa haina shida yoyote kasoro tu ilikosa uhimizaji wa stadi za kazi za kujitegemea baada ya shule endapo mtu akikosa ajira.

Ilibidi kuwe na masomo ya vitendo kuzidi theory kwenye Kilimo, Uchimbaji wa madini, ufugaji, ufundi mbao, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…